Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 350
- 31
Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .