Recent content by kelvin Brown

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata pesa za PPF kwa waliohamia NSSF

    Wakuu habari za leo? Wakuu leo nilikuwa nafatilia malimbikizo ya pesa zangu za PPF kwenye ofisini za PSSSF hapa mbeya. Nikaambiwa kwa kuwa mimi bado ni mfanyakazi mfuko wa PPF na mfuko wa NSSF watafanya utaratibu wa kuhamisha pesa wao kwa wao. Sasa nimekuwa nikiambiwa hvyo kila mwaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania UDOM kokotoeni hivi kupata asilimia...

    gud,let me try this
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pharmarcy

    hallow wana jf hongereeni sana mliopata loan pamoja na mliokosa tumshukuru mungu,kikubwa ni kwamba tunaenda kupambana na kipi tulichokibakisha,mimi nilitamani kusoma pharmacy hapo mwanzo lakini tcu wallinipeleka bs of science in chemistry hapo udsm,moyoni bado nataman pharmacy je nitaweza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 15,000 wakosa mikopo ya elimu ya juu!

    kwa nini lini wanarelease kabisa,wengine tukisikia heslb presha tupu
  5. K

    JamiiForums Tanzania wapi ntaapply bachelor of science in chemistry?

    asante sana kaka
  6. K

    JamiiForums Tanzania wapi ntaapply bachelor of science in chemistry?

    nipo udsm kaka,nilitamani kupata phamarcy ila wamenitupa huko
  7. K

    JamiiForums Tanzania wapi ntaapply bachelor of science in chemistry?

    naomba ufafanuzi kuhusu application na soko la ajila kwa ujumla kwa mtu anayechukua bachelor of science in chemistry.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nitapata vipi joining instruction ya udsm

    jamani nilikuwa naitaji kujua application form na joining instruction za udsm nitazipata vipi?nimesikia znapatikana kwenye mtandao ila nmezikosa
Back
Top Bottom