Recent content by Kelsey

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Hii ni hatari kwa kweli
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Lukuvi alikuwa smart sana. Mama hamrudishe tu wizard hii
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Mads nzuri sana hii. Tunapata kujua vitu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Hismastersvoice wakati wa kulala usiku wanawaona jinsi wanafunzi wao walivyolala. Kulala si ni faragha ya mtu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Mungu ambariki sana huyo sister, mtu mwema sana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Hii number 3, kumbe ni kote ulimwenguni! Sababu sijui ni nini, maana wana kawaida ya kuitana dear n.k kumbe hamna kitu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Kwanini masister wanawafanyia hivi wanafunzi wa kike?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Hivi kwasababu gani hii jinsia huwa hawapendani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Mama anamuonea wivu binti yake?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Masister watata wapo hata kwenye taasisi zingine za kanisa katoliki. Nadhani hili jambo lipo kibaiolojia zaidi, wanakuwa na kama stress fulani za upweke bila kujua ndio sababu wanakuwa strictly kwa watoto wa shule
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema "Nakupenda kama kaka yangu", nikimuita tukutane anakuja and returns my calls. Shida ni nini?

    Tumsaidie mshkaji hapa. Sababu wanawake huwa wanamaanisha tofauti wakiongea.
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

    Umesaidia sana mkuu kuleta picha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Boss Mkuu wa Azam Media Company Mwamba / Mngwena Tido Dustan Mhando atangaza Kustaafu rasmi

    Kwanini anastaafu, mbona bado ana nguvu sana. Huyu na watu kama Dr. Kimei ni watu ambao bado wanahitajika sana kwenye profession zao.
  14. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

    Namkumbuka Abiola. R.I.P Sijamuona miaka mingi kwenye media.
Back
Top Bottom