Recent content by KELLYN

  1. K

    Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

    Tusikatishane tamaa mimi kuna rafiki yangu aliomba bila kuunganishwa za mwaka jana na alipata
  2. K

    Ninatamani kuolewa, lakini ninaishi na virusi vya ukimwi

    Kuolewa inawezekana my dear omba mungu atakusaidia Na watoto utawapata.
  3. K

    Naomba ushauri Tatizo la Mtoto kutokula chakula

    habari zenu wana JF jaman wenye uzoefu naomba mnisaidie mtoto wangu wa miezi tisa yeye anapenda maziwa tu ukimpa vyakula vingine hataki hata kidogo anajitapisha chote naombeni msaada maana maziwa pekee kwa umri wake hayatoshi.
  4. K

    Kwa anaye jua jinsi ya kupunguza tumbo kwa aliyejifungua kwa operation

    ndio tangu nimefanyiwa opearation nina miezi mitano sasa
  5. K

    Kwa anaye jua jinsi ya kupunguza tumbo kwa aliyejifungua kwa operation

    wao labda wanayapenda ndio maana hawalalamiki
  6. K

    Kwa anaye jua jinsi ya kupunguza tumbo kwa aliyejifungua kwa operation

    imepita miezi mitano sasa tangu nilivyojifungua mtoto wangu wa kwanza, imetokea hali ambayo inanichukiza kwa kweli ni ili tumbo langu kuwa kubwa kama bado nina mimba, kwa ambaye anaweza kujua dawa yoyote ya asili ambayo inaweza kunisaidia kulipunguza, mazoezi yamenishinda nimejaribu sanaaa...
  7. K

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Pole dear kaa chini mzungumze kama ni mtu msikivu atakuelewa na atajirekebisha, na uache hiyo tabia ya kukagua simu ya mumeo unaona sasa yaliyokukuta. wish u lucky
  8. K

    Kumwanzishia mtoto chakula

    ahsanten kwa ushauri nitaufanyia kazi nampenda sana mtoto wangu
  9. K

    Kumwanzishia mtoto chakula

    Je naweza kuanza kumpa mtoto wa miezi mitatu na wiki mbili juice za matunda? Uji au mtori na anatumia maziwa ya ngombe, ya kopo aliyakataa huwa nakwenda kazini nachelewa kurudi.
  10. K

    3 ml nifanye biashara gani

    nina tsh 3 milion naweza kufanaya biashara gani naombeni ushauri please
  11. K

    Kuna haja ya kujua historia (background) ya mpenzi wako mpya?

    hakuna haja ya kujua ya nyuma bhana, kama mmependana songa mbele kwani ya nyuma smtym yanaumiza
  12. K

    seriously natafuta mchumba

    mbona wana jf mnaleta utani nimeleta shida yangu mnafanya masihara unadhani kazi ndogo ya kudanganyana kila siku jaman inachosha, naitaji kusettle kwa anayejal na kupenda
  13. K

    seriously natafuta mchumba

    people namaanisha nimechoka kuwa lonely i nid some one special jamani dont joke
  14. K

    seriously natafuta mchumba

    pole obe
  15. K

    seriously natafuta mchumba

    nimeshakuchek fb
Back
Top Bottom