seriously natafuta mchumba

Baada ya mfungo naona mumetuamlia. Mtu asipo oa kipindi hiki haoi tena. Nami lazima nimpate mwanajf safari hii. naomba unipm kwanza. mia
 
unatafuta mchumba na sio mume!!! ok, Je unafikiri ni kwa muda gani? na baada ya hapo una mpango gani?
 
tupe facebook akaunti yako basi naona itakuwa vizuri kuweza kufahamiana kiurahisi
 
Namba yenyewe uliyotoa ikipigwa inasema "jaribu tena baadaye", ukijaribu tena inakuambia "jaribu tena baadaye" ....!!!
 
mbona wana jf mnaleta utani nimeleta shida yangu mnafanya masihara unadhani kazi ndogo ya kudanganyana kila siku jaman inachosha, naitaji kusettle kwa anayejal na kupenda
 
mbona wana jf mnaleta utani nimeleta shida yangu mnafanya masihara unadhani kazi ndogo ya kudanganyana kila siku jaman inachosha, naitaji kusettle kwa anayejal na kupenda

Hongera kwa hatua hiyo ya kutafuta. Nakuomba umtangulize Mungu kwanza vingine usijeruka ..... ukakanyaga .....
Kila la heri. Sali novena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom