Recent content by kelamnyere

  1. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Tozo ni balaa na zinakatisha tamaa

    Juzi nilifanya manunuzi mtandaoni ila nilichokutana nacho ni cha kusikitisha. Nilinunua bidhaa kutoka nje, nikafanya malipo online kupitia visa card ya airtel, jumla ya malipo ilikuwa kama $112 plus transaction fee ikawa $115.35,ambayo ni kama Tsh 268000 na senti zake, lakini cha ajabu...
  2. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini (LHRC), wafungua shauri Mahakama Kuu kupinga Tozo

    Hata kama tozo zikiwepo haimaanishi kuwa serikali itaacha kukopa nje. Bado lundo la madeni lipo palepale.
  3. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Oppo R15, Ram 6Gb,Ram 128 Gb. Price 280000.
  4. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Njoo nikupe shipping agent mkuu Utasafirisha kwa $50 tu.
  5. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Ali express ni waziristan kiasi ila shida yao ni muda wa kusafirisha mzigo . Mm niliagiza flash kutoka Ali express ilichukua muda wa miezi 2 kunifikia. Ila kwa sasa nashukuru nimehamia Alibaba naagiza mizigo na kunifikia chapu.
  6. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante sana wanaJf kwa elimu nzuri mnayoitoa, imenisaidia sana hatimae nimefanikiwa kuagiza bidhaa toka China , na kunifikia.
  7. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chupa za plastiki

    Wewe 2m kwa miezi 3 unaiona ndogo?.
  8. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbao zenye dawa zinauzwa

    Ni vizuri ukaweka na bei ya kill size,ili kama mtu akihitaji anakua anajua bei halisi.
  9. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa mafunzo ya ufundi madishi ya ving'amuzi?

    Asante kwa ushauri pia.
  10. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa mafunzo ya ufundi madishi ya ving'amuzi?

    Asante mkuu kwa ushauri,
  11. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa mafunzo ya ufundi madishi ya ving'amuzi?

    Habari zenu wapendwa wanajamvi Ninapenda kuwa mtalaamu /fundi wa kuseti madishi ya ving'amuzi kama vile DSTV, Azam n.k. ila sijui wapi naweza kupata elimu hiyo. Naomba msaada kwa mwenye kujua zaidi.
  12. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Lipa namba imekuwa kero sana

    Fukuza kazi huyo yupo kwa masilahi yake binafsi,hivyo mwisho wa siku utakua unatoa pesa ya pango mfukoni mwako na sio kwenye biashara.
  13. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Hiyo ndo namba ya nn mkuu
  14. kelamnyere

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kwanini usitafute kijana ambaye ni mwaminifu umuachie hiyo biashara awe anakulipa?,either kwa siku au mwezi.
Back
Top Bottom