Mapenzi ni hisia, pesa inanogesha mapenzi.
Kama hamna hisia pesa haiwezi kunogesha mapenzi.
Changamoto kubwa watu wenye hela huwa wanahisi mwanamke yoyote wanaomtaka wanaweza kuwa naye,
Mwisho wanawapata wanawake warembo (wanaowapenda) ila hao wanawake hawana upendo Kwa hao wanaume.
Mwisho wa...
Acha kuwa mdin, chuki zako weka pembeni.
Hoja zao sio dini, hata waislamu wa bara tunapata changamoto hiyo hiyo huko Zanzibar.
Ishu ya msingi Muungano hawautaki kama sisi huku bara tusivyoutaka huo Muungano.
Swala la kununua simu na nchi inahusiana nini?
Maana swala la kununua simu ni ishu binafsi kulongana na kipato cha mtu husika
Hata hapa Tanzania Kuna watu dakika moja tu hiyo hela washaipata
Watu Kuna waumini na waovu
Majini Kuna waumini na waovu (mashetani)
Majini waumini wanafanya ibada zao na hawana mafungamano na binadamu either kuwadhuru au kuwanufaisha.
Majini waovu/mashetani ni ambao wana mafungamano na binadamu, wanatumia binadamu kwa masharti maalumu kuwanufaisha ikiwa...
Yaliyokukuta wewe ndiyo yaliyonikuta mimi.
Mimi nimepata division one O level na advance ila nilijichanganya kwenye kuomba vyuo, niliweka education ili mradi kutimiza idadi tena ya mwisho
Ndio nikachaguliwa hiyo hiyo, yote kwa yote sikuona Shida kuchaguliwa ila baada ya kuchaguliwa nikaanza...
Kwenye interview iliyopita Kuna somo walikuwa wanahitajika <200 ila wameomba watu 21,000.
Hata hayo mason ya Sayansi, chemistry na Biology walikuwa wanahitajika watu 500, 500.
Ila waombaji kila somo ni 10,000+ yaani 1:20
" Law of demand and supply"
Watu wakikimbia, automatically wahusika wataongeza thamani ya taaluma husika.
Ishu sio kufuta bali kupunguza.
Tanzania kwa mwaka inazalisha walimu wengi sana.
Sisi tulimalizaga UDOM, kwa degree peke yake inakaribia 5000.
Hapo hujagusa DUCE, MUCE nk ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.