Job Ndugai hana nguvu wala ushawishi wowote zaidi ya kulindwa na bosi wa genge lao JPM! Angekuwa na nguvu au ushawishi asingetegemea kuokolewa na TUME ya “uchafuzi” ya CCM!
Hivi kuna Mjinga yeyote wa kufikiri Mahakama ingetoa Maelezo yanayotofautiana na ya Msemaji Mkuu wa Serikali? Labda kama Hakimu kachoka kazi na maisha!
Hakuna aliye salama kikazi wala ki uhai katika awamu hii. Wakishindwa kukufukuza kazi utapambana na 'wasiojulikana' au kubambikiwa kesi ya...
Asante sana Paschal Mayala kwa Makala yako ndefu, inayofikirisha na ambayo inahitaji uzamifu wa fikra kwa baadhi kuielewa.
Nakubaliana nawe unaposema CHADEMA wanapaswa kushukuru. Ni kweli wanapaswa kumshukuru Mungu kwa yaliyotokea. Watesi wao walikuwa na ajenda mbaya sana iliyowageukia wenyewe...
Ni kweli Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuhamasisha Makao Makuu ya nchi kuhamia Dodoma.
Nilikuwa mtu mzima wakati ule na nilikuwa Chuo na nilikuwa kada mtiifu wa TANU.
Sababu alizozitoa zilikuwa nzito ambazo kwa kweli hakuna mwenye akili timamu kwa wakati ule angezipinga.
Baadhi ya sababu...
Huyo ni mbumbumbu wa sheria. Hajui hata anachosema!
Hawezi hata kusema ni kifungu kipi cha sheria kilichovunjwa! Isitoshe hata kama walifanya ghasia kama Magereza wanavyojaribu kujitetea, jukumu lao lilikuwa kuwadhibiti, kuwaweka chini ya ulinzi na kuwashtaki, si kuwapiga, kuwadhalilisha na...
Kumweka Magufuli kundi moja na kina Lumumba, Nkrumah, Nyerere, Thomas Sankara ni uzwazwa wa kiwango cha lami! Magufuli anaweza fananishwa na kina Mobutu, Bokassa, Kagame, Nkurunziza na labda Museveni.
Magufuli hajafanya hata sehemu moja ya mia ya aliyoyafanya Nyerere. Na bado Nyerere...
Sijui kwa nini unatumia nguvu nyingi kutetea hilo wakati wewe si Msemaji wa serikali! Wewe huna sifa za kukubali wala kukanusha. Watu hawawezi kutuhumu jambo lisilokuwepo kabisa. Mbona hawakufanya hivyo katika awamu zilizopita kama ya pili, tatu, nne hadi sasa ya tano? Ukweli ni kwamba Watutsi...
Mbona Hakuna "Demotion" hapo! CMG ni nafasi kubwa tu katika kamandi ya Kijeshi. Anabakia kuwa miongoni mwa ma "Chief" na wa JWTZ. Si kila mabadiliko ni kwamba sababu ya kuvurunda, hapana. Inawezekana Rais ameona aliyekuwa "Chief" wa National Service (CNS) angeweza kutumika vizuri zaidi kama CMG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.