Recent content by keimedia.blogspot

  1. K

    Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Vaa vizuri nenda ukifika agiza maji au soda water.. take responsibility.. kama auezi hata ivyo basi hata ukipata mchongo autafanyia kazi sababu ur lazy and can't think for yourself
  2. K

    Sifa Za Mwanamke Mwenye Ubora Na Kiwango Cha Juu

    anajieshimu Msafi anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba Anafanya mazoezi na kula vizuri Anapenda watoto Sio mbea Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe Sio king'ang'anizi Anapendeza muda wote sio tu wakati wa kwenda out Kalala na wanaume wachache na anatembea na mtu ambaye wako...
  3. K

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Hii thread imenivunja mbavu mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bongo comedians wengi
  4. K

    INAUZWA Bidhaa Used Kwa Bei nafuu (Mbeya) Uyole

    Kwa maswali na maongezi zaidi nitafute kwenye number 0686819779.. Gharama za usafiri ni juu yako.. Naviuza sababu naamia Arusha na sioni sababu ya kusafiri navyo itanicost mno bora nkanunue vipya mkoani.. Breakdown ya bei zake 1. Mini Fridge ( inafanya kazi 100% ) bei sawa na bure - 180,000/= 2...
  5. K

    Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?

    Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?
Back
Top Bottom