Recent content by kefimwa

  1. K

    Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

    Atakua mwalimu huyo
  2. K

    CAG: Hali ya Elimu Tanzania ina ukakasi. Mahitaji ni makubwa, hela ni kidogo; kuna sehemu mambo hayaendi sawa

    Malaika akisema "hii nyeupe" hata kama ni nyeusi hamna wa kumbishia
  3. K

    Wafuatao ni wabunge ambao wapo CCM kimwili tu!

    2020 tutajua mbivu na mbichi
  4. K

    Zitto: Taarifa ya CAG inaonesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Kipindi cha mkwere watu walikua wanatumbua mihela walikua wanatumia na maisha yalikua mazuri lakini siku hizi wanatumbua hela hazionekani sijui wanazipeleka
  5. K

    Zitto: Taarifa ya CAG inaonesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Ili usigundulike kama unaiba lazima uwe mkali na kuonekana mwenye huruma na watu wanyonge
  6. K

    Zitto: Taarifa ya CAG inaonesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Jamani mheshimiwa yuko bize kujenga nchi yawezekana ndo maana yote haya hayaoni...huu ujenzi sidhani kama utaisha kwasababu anajenga wenzie wanabomoa.
  7. K

    Maswali kwa CAG kuhusu mchakato mzima wa ununuzi wa ndege na mambo mengineyo

    Mkuu aliisifia ripoti kama ni nzuri nahisi kwasababu haikugusa mapungufu yote hayo si kwamba CAG hakuyaona kamlinda mtawala wake
  8. K

    Kumekucha: Je, Marekani inajiandaa kuiadhibu kijeshi Syria?!

    Kwa wale wajuzi wa mikeka(kubet) naomba mtuambie nani ataibuka mshindi kwenye hivi vita endapo vitatokea
  9. K

    Livingstone Lusinde(Kibajaji): Saluni ni kiwanda, kuna mbunge hajaenda saluni siku 3 sura yake ikabadilika kabisa

    Huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea vitu vya msingi hata siku moja
  10. K

    Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Ila mi nahisi hapo hamna deni lililo sahihi labda atakalotoa rais kwasababu yeye ndo anayeaminika kwa sasa
  11. K

    Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Hawa ndio viongozi wetu kila mtu anafanya kazi navyojua yeye
  12. K

    Profesa Mussa Assad ameomba radhi wananchi na Serikali juu ya taarifa ya deni la taifa

    Ninachokiamini alichokua anakisema ndicho kilichoandikwa kwenye ripoti yake,mambo ya kutuambia alikosea matamshi anatutiashaka na ripoti yake.
  13. K

    Mambosasa amshambulia mwandishi aliyemuuliza kuhusu askari waliompiga risasi Akwilina, amtuhumu kutumwa na CHADEMA

    Huyu mambo leo anaongea anatetemeka kama yupo chini ya ulinzi hivi ukiguswa na risasi unaweza ukafa kweli!au anaona aibu kusema "risasi iliyomuua akwilina"
Back
Top Bottom