Recent content by Kee_tah

  1. Kee_tah

    JamiiForums Tanzania Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

    Ndo lile la Mutalemwa sijui apostle
  2. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

    [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
  3. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Mkanye.....yaaani sio ya kukwepesha usiwe kama unamuomba ajirekebishe mkanye, mkemee vimba kiumee ajue hutanii. Akiendelea kuwa na kiburi wafuate wazazi wake (wakwe zako) nao uongee nao kwa heshima ila uwe umevimba ili wajue wapo serious. Ukiweza kuwa convince wakwe zako kuwa upo serious...
  4. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Anytime mwanaume anapoamua kumpiga mke wake mimi kwa maoni yangu naona kuna mahali mwanaume kashindwa kutumia mamlaka yake kama kichwa cha familia kukemea huo ubaya alioona kwa mke wake hadi ikafika mahali kaona hamna namna acha nimbamize. Mwanaume kama kichwa cha familia hapigi, he commands...
  5. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti wenye ulazima

    Ile issue anayokua nayo mwenza wako kabla ya ndoa inayokuboa ile unamwambia habadiliki, then unaamua muoane tuu bse no one is perfect ukitegemea maybe kwenye ndoa atabadilika. Mara nyingi hiyo issue ndio inakua root cause ya migogoro mingi kwenye ndoa. Huyo dada ungemuacha tu kwenye uchumba...
  6. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu wataka nimuache mke wangu. Ndoa ina miezi 6, nipo njia panda

    Mhh aiseee nikupe pole sana ndugu! Kama walivyotangulia kusema kuna imani za kishirikina zinahusika kwa kiasi kikubwa sana hapo! Kama ni mkristo na unamuamini Mungu ningekushauri ufunge hata kwa siku saba kumuombea mke wako huyo. Na hii ufanye wewe usimwambie mtu labda awe kiongozi wa dini...
  7. Kee_tah

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso

    Mpeleke kwa mtaalamu wa ngozi apate matibabu
  8. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini upole hausaidii chochote kwenye mahusiano

    Hata mimi jamani cheeeeh
  9. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Yani hata kigelegele kisipigwe asubutuuuuu
  10. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Sherehe lazima ila ukubwa wa sherehe ndio itategemea sasa
  11. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Anayelalamika sana ndio anayekomoka
  12. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Lolol kwa leo kunywa tuuu
  13. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Mi wangu ambavyo hanisumbui hadi kuna muda inabidi nianzishe varangati tu ili tugombane
  14. Kee_tah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Agiza birianii ya kuku unitumie bili
Back
Top Bottom