dau linapanda mkuu likikosa mshindi pia wala hawajaongeza mechi nilivoelewa mimi kutakuwa na jackpot kama tano hivi za mechi 13,14,15,16,17 wewe sasa ndo utachagua utakayo uicheze ipi zote hizo stake tsh.1000 tu hyo ya mechi 17 wim yake 1billion,mechi 16 win yake miilion 750, mechi 15 win yake...