Recent content by kbosho

  1. kbosho

    TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Noma sana, haya maisha banna, jamaa ni mtu mwema sana, tena mwenye utu....kazi yake ya afisa polis mpelelezi imesababisha watu kufraia kifo chake.......Afande Frady Ngatunga hayawai kua mkatili au kua na baya na mtu......
  2. kbosho

    Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!.... Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
  3. kbosho

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    his inch note tunaonekana vituko
  4. kbosho

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    kuna mambo mengine watu wanatakiwa kutumia busara tu na kuyapuuza na sio kufedhesha taifa tunakaonekana note wajinga...
  5. kbosho

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    inakuwaje mtu alie jiuzulu na kuachishwa Kazi...anafukuzwa Kazi?
  6. kbosho

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Watawala hawapendi kukosolewa kabisa.....
  7. kbosho

    Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

    Vifo na hasara havifichwi hovyo, hapo wanasema mkuu wa Mossad nae aliooteza maisha, lakini juzi ameonekana.
  8. kbosho

    Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

    Ukiweka Dini pembeni hakuna kosa kubwa liliofanywa na Viongozi wa Hamasi kuishambulia israel!!!! Viongoz wao wote wamekufa, famia zao, wananch wao, majengo na miji..... sasa wamebaki kama wakimbizi na Gaza haiwezi kua sawa tena. I mean haiwezi kua mikononi kwa Hamasi tena
  9. kbosho

    Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

    Kama watu wanajua mapaka kitanda anacholala mkuu wa Usalama na Mkuu wa majesho na wamewatungua kama kuku.....watashindwa kujua wapi vitu vimefichwa?
  10. kbosho

    Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

    Duh....hivi unajua vifaa vingi vya kivita Iran anatumia vya USA na Russia?....ndege za kivita karibia zote za Iran alinunua USA miaka 40 iliyopita, kuna ambazo alinunua Russia, Vifaa vya kulinda Anga vyote kanunua Russia.
  11. kbosho

    Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Mtu arusha makombora 300 yanayo lenga tageti ni mawili tu tena apartment za watu.....ni vile Iran hakuna uhuru wa vyombo vya habari na hakuna internet, laiti picha za Tehran zingerushwa....ndio ungejua kuachia acha yako uchi kwenye vita vya anga ni kujimaliza.
Back
Top Bottom