Recent content by Kb Ulayaulaya

  1. K

    GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Mh,inaitwa.Usimwamini mwanadamu hata kwa refunded moya. Amini nafsi yako.
  2. K

    Hakuna Scam kubwa hii dunia kama kuoa Mwanamke eti kisa kasoma chuo au ameajiriwa ili msaidiane majukumu ya ndani na mfanye maendeleo

    Muda mwingine,matatizo yako usiyalinganishe na ya mwenzio. Ila kikubwa inatakiwa kusaidiana majukumu. Matatizo na breakdown ni nyingi katika maisha ya binadamu. Jiulize,kwani ndoa zoote za waliooa ambao sio waajiriwa je zina amani zote?. Kikubwa bajeti zenu. Ila ukosefu wa kipato sio mzuri.
  3. K

    Kitengo cha Propaganda CCM hakifanyi kazi yake kwa ufasaha

    Ukifanikiwa kuuona Mwezi kwenye picha hii. Basi,ujue ndo wasomi wenu wenye IQ ndogo walivyo katika kupambana na IQ kubwa
  4. K

    Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Dunia inaenda kaso,hivyo hivyo na watumishi wanaenda nayo kaso. In bambo's voice
  5. K

    Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Cheki bi Chura wenu alivyonasa kwenye mtego wa Wazalendo
  6. K

    GE2025 Humphrey Polepole umetudanganya kwa 100% kuhusu mchakato wa CCM wa kugombea kwa Magufuli 2020

    Cheki ccm wakihaha kuingia ndani ya mioyo ya watanzania wanaojielewa
  7. K

    Vyombo vya habari Vya Tanzania vina hali mbaya, Vinasikitisha waandishi wamegeuka wapambe

    Kwangu mm ningeshauri tungeacha kufatilia habari zao,na kujikita kwa JAMBO TV wale jamaa wanajiamini hadi raha.
  8. K

    Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara

    Watangazaji wale ni vilaza,sio kila swali lazima lijibiwe. Ndo yale yale ya Diva vs Bushoke
  9. K

    Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

    Mkuu viazi na mambumbu ni mengi sana. So no reform no election
  10. K

    GE2025 Humphrey Polepole: Uongozi si mali ya baba yako. Kusema mgombea ni mmoja ni makosa

    Naona kwa mbaaaaaaaali tunaanza kuongea lugha moja ya Visasishi
  11. K

    GE2025 Polepole: Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni, Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?

    Karibu sana katika kilometres cha wapinzani cha mda mrefu. Tulisema,mda huwa mwalimu mzuri.
  12. K

    Natafuta mwanaume wa kunioa

    Kapicha ingependeza
Back
Top Bottom