Recent content by KazKaz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

    Jamaa angekuwa muwazi tangu mwanzo na angekuwa anakito.besha kwa wanawake tofautitofauti am sure wengi wangemkimbia lkn ultimately in the long run angempata tu wa saizi yake cz sure hizi K zipo dizaini na size tofauti, thr mst one he wld fit in
  2. K

    JamiiForums Tanzania *Anataka mambo ya pwani*

    Sasa cha ajabu kipi hapo, mtimizie anachohitaji kama hauwezi waachie wengine wanaoweza. Simple n' Clear kila m2 kwa raha zake arifuu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama mbinguni wanaenda wenye ndoa,basi sitaenda

    Kuwa makini sana kwsbbu watu wengi hushauri kitu ambacho wao wenyewe hawawezi kutekeleza kama wangekuwa ktk nafasi yako. Just listen to ur heart, Friend.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Help

    Hello jf...naomba kwa anayejua majina ya artists wa hizi nyimbo mbili anitajie(romantic oldies) 1. IT MUST HAVE BEEN LOVED 2. WHERE DO BROKEN HEART GOES. Thx in advance....
  5. K

    JamiiForums Tanzania Help

    Hello jf...naomba anayejua majina ya artists wa hizi nyimbo mbili anitajie majina yao respectively 1. IT MUST HAVE BEEN LOVED 2.WHERE DO BROKEN HEART GOES. Thx in advance.....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Ndg yangu kusoma hujui hata picha nayo inakushinda....we chapa lapa faster atakuzingua sana huyo kama vp jitulize kwa mfariji wako.
  7. K

    JamiiForums Tanzania mapenzi kwa njia ya simu na skype

    hii ni kitu nzuri bana it helps to those with long distance r/shp
Back
Top Bottom