Hlo ni kwel kabisa tatizo hawa madada zetu wanakitu flan hivi ambacho ni kibaya kwa mfumo wa maisha ya sasa yan hakuna kitu kibaya kam dharau hki ndicho wengi walichojiwekea na si kwamba wamezaliwa nazo ila wamejifunza ukubwan.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.