Naam ayo NDo maneno tatzo sisi mandume la kuwili atuna msimamo nipemenda kauli yake ya juz kama amtak kutupa Hela sawa bakin nazo pale alipo wajibu bank ya Dunia
Nabisha ilo Mzee mwezang anagalia izo nchi ulizataja wakuu wa jeshi ni na nan wote wameweka watoto zao MUSEVEN anadili na rusia katika biashara zake ambae adui mkubwa wa Amerika
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.
Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa...
Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za...
Usilete mjadala usio na mantiki Kwa kumtaja raisi wetu mbwa ww muache apumzike Kwa aman Uko alipo ulitaka afanywe nn aachwe huru andelee Kula Kodi zetu lete mada ya kueleweka tuchangiane mawazo.
Unatak
Unataka abane uhuru Gani ww uoni ivi sasa Wana Habar wanavyingia sekta nyeti Kwa hili mama tumpongeze Tu ila Kitu kimoja ukali Ana iyo ndio shida
Wanatuchukulia poa sana awa jamaa jibu kuhusu mapanga eti ni makubwa sana Uyu jamaa vp nao wahariri Sijui mambumbu Wakat ata YouTube tunaona feni la kawaida sana ata ist inaweza beba ni nonsense tupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.