Recent content by KAYMALI

  1. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Ulikua panelist na wewe nini?[emoji23][emoji23]
  2. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Na hapo ni kwa vile walioitwa aptitude sio wote walifika kufanya hiyo.
  3. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    We kaa kwa kusubiri utapata majibu badae. Wengine mpaka leo bado hawajajulishwa wamepangiwa lini
  4. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]si ndio
  5. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Yah ni kukomaa, tatzo watu hawataki kuambiwa ukweli kuwa watu ni wengi.
  6. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Na kila siku kuna interval ya dk 15 kwa kila mtu yani mnakua mnapishana, afu kuna jamaa anabisha watu sio wengi[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. KAYMALI

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    Si tumekua tukiambiwa tanzania ni nchi tajiri sana. Sasa tunakuje wanyonge kwenye nchi tajiri.
  8. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Basi sidhani kama watakua chini ya 500 watakaoitwa. Kumbuka aptitude wamefanya zaidi ya elf 10. Na oral inafanyika kwa wiki 2, sasa watu 300 ndo mpaka wamalize wiki 2?
  9. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Hujanielewa labda, interview ni Oral ila watu ni wengi.
  10. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Sio kutishia. Mi mpk sasa nimeona kuna mtu anafanya tar 14, mwingine 20. Kila mtu na muda wake. Unategemea nini hapo
  11. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Hiyo oral yenyew inaonekana inafanyika siku nyingi kama wiki mbili maana wapo wa tar kumi na kitu na wa ishirini na kitu
  12. KAYMALI

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  13. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Tupe detail kidogo basi
  14. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Tuwaibukie man. Mi nataka nipate details za wap na lini niende. Itafahamika huko nikifika.
  15. KAYMALI

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Mi mwenyew siendelei. Tunataka wanaoendelea watupe lonja tuone kama tutajitoa ufahamu twende oral bila kuitwa. Wanafanya lini na saa ngapi[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom