Nunua vifaa vya kujifungulia kama kanga, vitenge, gloves, n.k pia mtoto akizaliwa kuna vitu pia vya kununua kama babyshow, beseni, kofia soksi, vinguo, chupa ya chai na mtori, pia uwe na akiba kidogo ukiondoa hivyo akiba kama ya laki 2 had 3, kuna vigharama vya ajabu vinaingezekaga kama...