Recent content by kayanda man

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Ahaaaaaaaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Ahàaaaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mzee aliyemuuliza SWALI TATANISHI Rais Magufuli ni nani? Je, alipangwa kuwepo hapo Magomeni?

    Yani huyu mzee kwakweli aliuliza swali kama ana questioon mamlaka ya Rais Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atuma timu mkoa wa Kilimanjaro kutatua tatizo la uhusiano kati ya RC na maDC

    Akili ndogo tu very likely RC kaomba kujiuzuru kufatia kukosa ushirikiano wa DC
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Kwa akili ya kawaida tu ya form one F ,kuna kakikao ka kinyemela kumpromote huyu kwa urais wa 2025
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumrithi IGP - Simon Sirro?

    Siro abakie anapiga kazi balaa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Marie Stopes Tanzania yasitisha huduma zake. Serikali yaliruhusu kuendelea kutoa huduma

    Aisee wabongo tatizo letu tunajidai kujua kila kitu..nadhani na ofcoz kutakuwa na sababu nyingine and possibly they were receiving fund from donors ambayo haikuwa ktk interest ya gvt.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa waliowahi kufunga ndoa ya Serikali

    Ok katika hizo form mtahitaji muende na barua za utambulisho zenye picha zenu toka serikali za mtaa..yaani wewe na mkeo/mmeo tarajari.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa waliowahi kufunga ndoa ya Serikali

    Ni simple tu unaenda pale na mwenzi wako mnajaza form na mnalipia around elfu hamsini tu...akaunti namba utapewa huko...baada ya hapo mnasubiri siku 21 mtapangiwa siku ya kwenda,then siku mnaenda na wawakilishi ka ni walezi au wazazi yani wewe na mwenzio kila mtu anaenda mwakilishi mnakula kiapo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Mwanza can never be compared with Arusha jmn kuweni serious..Mwanza iko mbali mno.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Anayepafahamu vizuri Simiyu kijiji cha Kalemela

    Kalemela chamugasa ahaaaa,karibu sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Mie sioni shida Lowassa alipokuwa kwao aliongea kimasai/kimeru,tatizo naliona ni namna hali ya siasa ilivyo nchini,mie sina chama ila ukiangalia haya matamko ya kuzuia maandamano na mikutano ya kisiasa madhara yake ni ndio haya,leo Tanzania inaanza kuongelea ukabila...wanasiasa si watu wa mchezo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Tanzania inaelekea wapi anisaidie na mimi nijue

    Familia yangu tu sijui naipeleka wapi ndio itakuwa Tanzania...pls another qn
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Tatizo nalo liona hapo kama TISS watapewa uhuru mnaoutaka kunahatari kubwa ya kumJFKennedy rais incase ametofautiana na interest yao...ni muhimu kazi za usalama zikabaki kama zilivyo kwa usiri na ushauri kwa executive..beyond that tutakuwa na muhimili mwingine wa nne,nilivyomuelewa mheshimiwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Hapo hatari yake naona wanaweza wakam JFKennedy rais wetu,ukiwapa uhuru unaoutaka.
Back
Top Bottom