Recent content by kayaman

  1. kayaman

    Wanaume jitahidini kufua boxer zenu nauwe na boxer zaidi ya moja

    Mwambie bwana ako awe anafua boxer sio kugeneralize
  2. kayaman

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii itakua dodoma marathon
  3. kayaman

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Kuna mwaka nilienda mkoa nikafikia kwa blaza alikua anaishi na mke wake, watoto wawili na beki tatu, mimi na blaza tulikua tunaenda vzr kabisa, nilikua nawahi kurudi home nakuta wenye nyumba hawajarudi yuko dada tu na watoto, kusema kweli yule mtt wa kirangi alikua vizuri sana slowly tukaanza...
  4. kayaman

    Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Hawa viongozi wa dini ni kundi lingine la madalali wanaotumika kuuza rasilimali za taifa wakitoka hapo wanapewa posho wakasambaze ujinga kwa waumini wao
  5. kayaman

    Huyu mchina wa Sino Hydro ni nani hadi anapewa kila mradi?

    Wachina wanaongoza kutoa rushwa
  6. kayaman

    Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Kusema ukweli wabongo nje ya nchi ni wanafki sana na hawapendi kuona mwenzao anaexcel especially uwe umewakuta, ushauri ukifika ughaibuni ni mara millioni uishi na watu West Africa kuliko waswahili watakuchoma, hata demu usichukue mbogo
  7. kayaman

    Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

    Tafuta mwingine atakayekufikisha kwa nyuma
  8. kayaman

    Barabara za lami zikijengwa wilaya ya Hai ni sawa ila zikijengwa Geita ni matumizi mabaya ya kodi!

    Sasa wasukuma mnapitisha punda kwenye lami wewe unaona sawa hiyo?
  9. kayaman

    Rais Samia akutana na Mwigulu, Ashatu Kijaji, TRA katika Kikao Maalum Ikulu

    Unaambiwaje? Jana ndugu yenu kapewa last warning
  10. kayaman

    Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Waislam wanaoa usiku wanaacha asbh na 90% ya talaka hawagawani mali na hata wasipoachana wako na option ya kuongeza wake hadi wanne sasa utamlazimishaje kijana aoe ndoa zenyewe kuachana hadi mtu afe? na mademu wa kikristo kwa kukimbilia mahakamani kugawana mali ndo ishakua fasheni, acheni vijana...
  11. kayaman

    Mgomo unaoendelea Kariakoo ni economic sabotage

    Kama utakua sio mwajiliwa mwenye mshahara wa tgsb basi unaishi kwa shemeji yako huna biashara yeyote hulipi hata bili ya maji, kwa mtu anayeuza hata maji na sigara za kutembeza asingeandika upumbavu huu.
  12. kayaman

    Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

    Wewe ni ng"ombe mmoja usiyejua chochote hebu nitajie mkali anayelisha jeans na viatu vya kike nione kama kweli upo kkoo
  13. kayaman

    Nahisi baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za simu si waaminifu

    Juzi kati nilikua nimekaa sehem flani mitaa ya sinza ikawa imekuja noah flani ndani ina watu wanne dereva na abiria watatu mmoja kati yao ni demu mkali, mmoja wa wale watu akawa ameshuka akaja tulipokaa alikua anafahamiana na mmoja wa washkaji niliokua nao, tumekaa pale tunapiga stori muda...
  14. kayaman

    Nimemshangaza mwanafunzi wangu huyu, nahofia asije akatangaza hili

    Kama akili ya mkufunzi ndio hii I'm very sorry kwa hao wanafunzi
Back
Top Bottom