Jamani niko UFARANSA, hivi hawa jamaa walipata wapi mali zote hizi na kujenga majengo mazuri namna hii. kama wamasai wanavyosema ng'ombe zote duniani zao. Mimi nasema mali zote za ulaya ni zetu.
kingine naona Africa tuungane labda tutaivisha. Tuache roho za mtima nyongo, mmoja mmoja mpaka...
Mzee nazani wangekuwa wana compute GPA kwenye masomo specific. Sio Kiswahili, Geography, historia, michezo, physics, mathematics, chemistry. Cha msingi kabisa mi naona kama mtu ana A ya mathematics na anauwezo wa kufundisha mathematics basi afundishe
Ndio hivyo nazani ni mpango wa wazungu kuua elimu ya bongo. Kwao hawaangalii haya mambo ya GPA ya undergraduate, wanacho angalia mtu anajiweza na amefaulu kwenye field aliyo omba kwa kiwango cha B+ au A, ila kwenye masomo mengine anaweza kuwa
Haya maswali tunatakiwa kuwa uliza TCU na waziri, ni...
Jamani naomba watu wajadili juu ya nafasi za kuwa lecturer vyuo vingi vya Tanzania. Kwanza mi naona kuna tatizo kubwa sana naomba Prof Ndalichako na TCU walifanyie kazi.
Nafasi ya kuwa lecturer inataka mtu awe na GPA ya 3.8 au juu. Hata kama ana Ph.D. anatakiwa kuwa na GPA ya 3.8 ya...
Leo ni mara ya tatu kununua vitu kariakoo na kupewa risiti ambayo haionyeshi makato ya TRA au VAT. Ukinunua kitu chochote unapewa risiti ila haina makato hata kidogo.
Nilipo wauliza mbona haionyeshi makato ya serikali wakajibu eti mashine zao zimesamehewa mpaka mwaka ujao wa fedha ndio zitaanza...
Umesema vyema sana. Mi nimefurahia sana bajeti hii kama kungekuwa na ruhusa wangepiga wimbo wa simba wa yuda anaunguluma bungeni ili wabunge wacheze na kumpongeza Raisi wetu. Kwa kweli miaka kumi ikiisha tubadilishe sheria Raisi awe anachukuwa miaka 20. Yaani term ya kwanza 10 na term ya pili...
Kwa kweli Muhongo ni mchapa kazi, kama watu hawaamini watagundua si mda mlefu. Kwa maoni yangu wizara ya nishati na madini ni kumbwa sana igawanywe kwenye nishati na madini. Ni vizuri kuunganisha wizara kama michezo, mazingira, biashara, chukuzi. Sio nishati na madini.
Hujitambui hilo ndio tatizo lako kubwa sana. Jambo hilo kama lipo tunaomba mtu aende field akafanye research ya namna hiyo harafu aje na data. Na akija na data kutoka kwenye tafiti aje na kukemea tabia hiyo, kwasababu haijengi.
Siku zote Mh Raisi anasema wekeni mambo ya maana. Sasa ukisha jua...
Umewasikiliza lakini wanavyo jadlli hilo jambo, wanatafuta na advantages za watu weupe na disadvantages za weusi. Huo ni ujinga bora waweke mambo ya maana tusikilize mfano waweke hata habari za mbuga za wanyama, faru jonh au faru ndugai kuliko kutuwekea ujinga huu redioni
Hilo sio lengo kama wana lengo hilo approach yao ni hovyo ndio maana wanatakiwa kukaguliwa vyeti. Huwezi ukawa na lengo la kuondoa jambo harafu ukawa unalijadili kwa namna hiyo. Wamekosea sana approach. Kama wanataka kukomesha tabia hiyo wange mleta mtalaamu akaelimisha jamii na kukemea tabia hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.