Recent content by kax

  1. K

    Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Nguruwe sio halal meat ni Haram Kwa waislam,kuweni makini mtapgwa na kitu kizito
  2. K

    Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Mbona hampo club bingwa?
  3. K

    Penzi kitovu cha Uzembe , poleni wanayanga

    Kila mtu Yuko huru kupenda anachotaka Ili mradi avunji Sheria za nchi, tumekuchoka na hili andiko la hovyo
  4. K

    Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Jitahidi kutafuta kazi mwisho wa mwaka ajira za ualimu ni nyingi mkuu,ila ukikosa nenda kajitolee
  5. K

    Bank teller anawezaje kutoa fedha za mteja bila kuwa na namba ya siri?

    Hawezi mtu kwenda kuchukuw pesa zako coz lazma aangalie picha ya mteja ambayo ita display kwenye computer ya teller.Akiingiza tu account namba na majina lazima picha yako ionekane kama picha aifanani na mteja unakamatwa
  6. K

    Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Vipi umesajiliwa ERB?Kama ndio nenda TAESA ufanye usahili upate internship
  7. K

    Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Hivi inawezekana kufungua madai ya mafao yako Mkoa tofauti na uliofanyia kazi mfano uliajiriwa Mkoa wa Kilimanjaro madai ufungulie Arusha?
  8. K

    Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    Huwa nakuona mtu wa hekima nyingi ilaa.......
  9. K

    Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Hapa mchawi ni umri yaani kuanzia miaka 18-26 sisi wenye 30's hazituhusu hizi scholarships na wanahitaji degree za miaka minne na tangu umalize isizidi miaka sita.Ngumu sana hizi scholarships
  10. K

    Wizara ya Elimu acheni kuwa madalali wa Scholarship za Ubalozi

    Hii haipo hata Kweny website haina ukweli
  11. K

    The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

    Ok vp kuhusu gharama za maisha zikoje ikiwemo chakula na malazi na upatikanaji wa ajira ambazo sio rasmi
  12. K

    The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

    Ila ticket ni lazima iwe go and return?vp work permit watakupaje wakati umeenda kama mtalii?
  13. K

    Nafasi za intern CRDB

    Share bc Hivyo vikampuni vdogo vijana wakapambane
  14. K

    Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

    Mkuu Samahani sijakuelewa,Hizo kampuni hapo sakina ndio zinatoa ajira nchi za kiarabu?naomba ufafanuzi
Back
Top Bottom