Recent content by KAWALA

  1. KAWALA

    kwa wale tuliosoma PUGU High school

    DV la mwisho wa lami duuuuuu....pugu noma niaje
  2. KAWALA

    Story behind your date of birth

    Mmmmh! Ukweli mtupu Bwana yaani mule mule...
  3. KAWALA

    Dkt Mvungi: Muungano Ulishavunjika!

    Sina hakika kama waliokua wakiruhusu mambo hayo kufanyika walimaanisha kuwanyamazisha wazanzibar. Hata ivyo tulipofikia sasa ni matokeo ya kutofanya yaliyo sahihi juu ya muungano wetu kwa kipindi chote kilichopika.. Nina imani sisi kwa pamoja WATANZANIA(sipendi kutumia watanganyika na wazanzibar...
  4. KAWALA

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Haya maneno si marahisi..ya Lema ni haya tumesikia..yawezekana kuna mambo mazito ndani yake au yaweza kuwa hakuna..ushauri wangu...."kila mmoja wetu anao wajibu wa kufanya kila lililo-ndani ya uwezo wake kuifanya Tanzania yetu mahali pazuri pa-kuishi" haijalishi unashirikiana na kina nani au we...
Back
Top Bottom