Recent content by Kavunja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    Tatizo lenu walimu ni woga wa kufanya maamuzi na kusalitiana ninyi kwa ninyi
  2. K

    JamiiForums Tanzania ARVs ni siasa itakayoendelea kutumaliza

    Kama una uhakika na unachokisema basi nenda kafanyie majaribio halafu usimlaumu mtu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania ARVs ni siasa itakayoendelea kutumaliza

    Sababu kubwa inayofanya kuendelea kuwepo kwa VVU miongoni mwetu ni ARVs. ARVs humpa nguvu mgonjwa na kumfanya asioneshe dalili za ugonjwa kwa hali hii anakuwa ni hatari kwa asiye mgonjwa. Kutokana na kupata nguvu na afya nzuri ARVs humuwezesha mgonjwa kuishi muda mrefu na kuambukiza mamia ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bush+Kikwete Vs Tundu Lissu

    Tunaomba watanzania wazalendo tumuunge mkono tundu lisu juu ya hili.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msingwa aibua ufisadi maliasili

    CCM bila CHADEMA tunakufa!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Makamba hana sifa, hizo ni story tu, hata mwigulu nayo stori nzuri zaidi ya hiyo. Hata sasa Makamba ni kiongozi, je, amefanya nini kipya katika uongozi wake wa sasa? Kwa hiyo akiwa rais ndiyo atanya maajabu gani? ikiwa kwa sasa anayoyafanya ni yaleyale tuloyazowea. Kwanza sifa yake na jina kubwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania John Heche amuumbua Kinana, Wanakijiji ITILIMA washika vichwa

    Kila kitu ndani ya inchi kinaendeshwa kwa kufuata katiba na sio inchi tu bali hata vikundi vya wakulima na vikoba vina katiba. Kinana anaposema 'katiba sio muarobaini wa matatizo ya wanainchi bali wanainchi wanahitaji huduma za msingi kama barabara, maji, afya nk' kinana hajui kuwa haki ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi kiongozi imara kama huyu Tanzania ya leo?

    Hata mimi naweza kuyatamka mengi yaliyo mazuri hata kuzidi hayo ya Sokoine. Lakini je, watanzania wa leo watanipa nafasi ya kuwaongoza? Mazowea ndio maisha ya watanzania. Ni watu wasio na uthubutu hata kidogo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

    Pumbaafu! amani na utulivu tulivileta wewe na mimi na sio CCM. What is CCM? Ni chama cha matajiri, ni chama cha kurithishana madaraka, ni chama kinachowasurubu wanyonge na kuwakweza wenye sauti na mali, ndicho chama kilichosheheni mafisadi walarushwa na wenye uchu wa madaraka, tena ni chama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dawa za kupunguza makali ya VVU (ARVs) sasa ziuzwe madukani badala ya kutolewa bure

    Serikali ya Tanzania hubeba mzigo mkubwa kuwahudumia waathirika wa VVU kwa kutoa posho kwa waathirika wa vvu, misaada na huduma mbalimbali zikiwemo dawa za kufubaza VVU (ARVs) bure ambazo ni maalumu kwa waathirika wa VVU. Hali hii hupelekea watu kutojali madhara ya VVU na kulichukulia gonjwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Pinda aanza kudhibiti wabunge wa UKAWA,aandaa sheria kali kuwadhibiti

    UKAWA ni sawa na maji yaliyomwagika.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pinda aanza kudhibiti wabunge wa UKAWA,aandaa sheria kali kuwadhibiti

    Pinda nae ni mbunge kama walivyo wabunge wengine na hana mamlaka ya kumuamlia spika.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Asimulia zawadi feki za Dk. Bilal

    Hatuna imani na CCM tena!
  14. K

    JamiiForums Tanzania KINANA: CCM ina mapungufu, Watendaji wa serikali wabadhirifu wanahamishwa

    Kumbe serikali ya ccm imeshindwa kutekeleza ilani yake yenyewe ndo maana kinana anaiponda, sasa huyo kinana ni chama gani? Na iwapo serikali ya ccm imeshindwa kutekeleza ilani yake yenyewe ( kwa mujibu wa kinana) sasa itawezaje kusimamia katiba ambayo ndio sheria mama na inatokana na wanainchi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kinana afichua mbinu za kikundi cha UKAWA katika ziara Mkoani Manyara

    Sikutegemea...! Kumbe kinana bado mtoto mdogo sana yaani hajui hata kazi za katiba katika inchi. Hebu tujaribu kufuta katiba yetu ya sasa na tuishi bila katiba halafu tuone kama itawezekana. Kinana ni mpumbafu na wote wanaomsikiliza ni mbumbumbu. Huyo kinana akiwa rais anaweza kufuta katiba...
Back
Top Bottom