Recent content by Kavimbe jr

  1. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ardhi: Msiweke Lamination kwenye hati zenu za Ardhi.

    Huyu waziri mbona anatuchanya sasa!! Si walisema hati zitakuwa za kie Huyu Waziri anatuchanganya sasa!! Si walisema hati zitakuwa ni za kielektoroniki.. Na kama hati ni ya kielekitoriniki na uhakiki wake ni wa kielekitoroniki. Sasa hilo karatasi kuwekea Lamination lina athari gani na...
  2. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Mpira wenye teknolojia ya Kisasa ndio utatumika kwenye kombe la Dunia 2026, Una sensa ya kutambua mpaka uelekeo

    Sijui ni kweli au jamaa anatupeka peleka
  3. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kutosha unaonyesha dini sio chanzo cha maadili ya dunia

    Kwa vile kitabu chako cha biblia kimeshindwa kufundisha maadili mema ndio unadhani na KURAAN ni hivyo sawa sawa na biblia
  4. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Faida aliyoipata Imani Petro baada ya kusilimu na kuwa Mwislamu

    Maelezo marefu kama barabara lakini mtoa post ukimuuliza kati ya Yesu na Mungu ni nani zaidi hana jibu.
  5. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa jifunze kukaa kimya na kuheshimu ofisi za watu, hili la uvamizi wa JF limekuanika vibaya na kukutengenezea chuki mbaya

    Huu ni wakati wa uchaguzi kwa hiyo kila mwenye tamaa ya madaraka ni lazima abwabwajee (kusema ovyo)
  6. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Nilipe kodi mara ngapi.. Hii ni sawa sawa na kodi za mawinga wa Kariakoo
  7. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Kama ni hivyo, baada ya uchaguzi utapokea meseji ya kuteuliwa mkuu wa wilaya za Karangwe, Tanganyika au Ukerewe.
  8. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
  9. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Hiyo kalenda hajaipanga Yesu na wala yesu hana habari nayo, waliipanga wanaadamu kwa kutumia jina la Yesu .
  10. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Kama tungewaacha Wachina Kariakoo, wangeharibu mfumo mzima wa biashara ya Tanzania

    Mtoa post una roho mbaya kama mamba. Kama nyinyi wenye roho mbaya mukipewa nchi kuongoza lazima nchi itakuwa masikini yenye dhiki. Nchi zote zenye uchumi nzuri sababu ni wageni ndio uchumi wao ukanawiri. Pia huoni aibu kusema uongo. Mfanyabiasha huwa hahamishi pesa zake kupeleka nje ya nchi...
  11. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

    Watihaniwa wa U-TRA katika kitengo kimoja ni zaidi ya 15,000. Hapo ni lazima marks za aina moja zitafanana hata kwa watu 500.
  12. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

    Wachagga wanalima kahawa lakini sio wanywaji wa kahawa.
  13. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

    Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo. Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
  14. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

    ...na hiyo ndoa yao itavunjika kabla ya Ramadhan ya 2026. Kama kawaida ya ndoa za wasanii.
Back
Top Bottom