Recent content by KAUZUDAGAA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta tempo HISTORY & GEOGRAPHY

    Kama kuna shule au tution anahitajika mwalimu wa masomo hayo tuwasiliane ili nije kupiga kazi. 0765 564390 Ahsanteni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    Kwan wa sanaa sio walimu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    source?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    asante kwa kushiriki
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    Kwa mwaka ujao 2016 kuna uwezekano wa kutoa ajira mwezi wa ngapi au ndo ajira hakuna kabisa? Kama una mawazo yeyote karibu tufahamishane.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    HABARI ZENU NDUGU WANAJAMII FORUM? NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUPATA VISA YA KUSAFIRIA NJE YA NCHI NA GHARAMA ZAKE. Mfano kutoka Tanzania kwenda Zambia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ada za vyuo

    Ni NJOMBE SCHOOL OF NURSING.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ada za vyuo

    Jamani wadau naomba kuuliza ADA za vyuo vya serikali vya NURSING CERTIFICATE. Mwenye kujua naombeni msaada tafadhali.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wale wa mkawa university

    Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce? ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE. Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele. kwa wale wauza sura imekulu kwao.
  10. K

    JamiiForums Tanzania PhD YENYE HESHIMA

    Mbona unadharau faculty ya BAED? Acha upuuzi we ----.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Meneja wa Tawi

    Kwa yeyote anayetafuta kazi sasa umepata suluhisho la tatizo lako. Nafasi ya kazi ni Branch manager wa NSSF. Sifa za mwombaji awe anajua kusoma na kuandika, vile vile mwombaji anatakiwa awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18. Mwisho wa kupokea maombi ni tar. 23/04/2013. Nakuomba popote...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Soma hii itakusaidia.

    kwani umeitwa? Unajipendekeza sio?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Soma hii itakusaidia.

    Please click here
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu malipo UDOM

    hv ada na direct cost unalipia kwenye akaunt moja?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana UDSM kwa kuonyesha njia big up!

    samahan kaka hivi na MUCE wametoa hii list?
Back
Top Bottom