Hongera sana UDSM kwa kuonyesha njia big up! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera sana UDSM kwa kuonyesha njia big up!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KIDUNDULIMA, Sep 27, 2012.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kikiendelea kudhihirisha kuwa ni chuo kikongwe na chenye ubunifu wa hali ya juu, UDSM wametoa orodha ya FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR - BATCH NUMBER 1 kwa ajili ya kuwapunguzia usumbufu vijana wa mwaka wa kwanza namna ya kubadili mkopo kwenda kwenye %. Kwa wale wanaotaka kuona orodha hiyo nimeiambatanisha hapa au watembelee web ya UDSM. Nimejaribu kutembelea web za baadhi ya vyuo sijaona ubunifu wa namna hii. Keep it up UDSM na hohereni sana.

  Nawasilisha
   

  Attached Files:

 2. w

  wakuvuma Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mim nimeipenda vip nikisema hik ndo chuo kinajal wanafunz wake!
   
 3. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  hiyo huwa inatolewa na vyuo olmost vyote, last year mbna zilitoka, bt nliona kwa vya serikali tu,
   
 4. K

  KAUZUDAGAA Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  samahan kaka hivi na MUCE wametoa hii list?
   
 5. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Haijatoka nadhani wanaendelea na mchakato waliyotoa ni ya main kampasi tu
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wamefanya vizuri sana. Na vyuo vingine wangefanya hivyo ingekuwa vizuri sana.
   
 7. M

  MLEKIZAYO Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [/quote]

  hajatoa ila unaweza kuangalia kiwango cha mkopo wa koz yako udsm.kwan ada ya ud na muce ni moja then utajua
   
 8. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  vyuo..karibu vyote vimetoa nimetembelea SUA na wao wametoa
   
 9. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  DIT wametoa?
   
 10. f

  fox JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Huna jipya wewe hao ni bodi ndo wametoa hivyo na sio udsm,tembelea vyuol vyote uone km sio mtindo huohuo.......jipange kwanza.
   
 11. S

  SirJoaz Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  acha sifa za kitoto kwani kuna chuoambacho hakijafanya hivo? be update dogo
   
Loading...