Bwana Dauda Kateme ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini ametangaza rasmi kujiunga na Chadema.
Amechukua hatua hiyo baada ya kutoridhika na utaratibu wa upigaji wa kura za maoni katika Kata ya Kaibanja.Aliyetangazwa kuwa mshindi ni Lwankomezi wakati tawi moja...
Mkuu wa Wilaya ya Missenye.Mkoani Kagera Issa Njiku amemuweka rumande kwa siku ya pili leo mgombea wa Chadema katika kijiji cha Bubare Faustin Kabito,baada ya mgombea huyo katika mkutano kusema ardhi ya vijiji imeporwa na wawekezaji wa lanchi ya Missenye bila wananchi wa vijiji hivyo...
Rc wa Kagera Fabian Massawe amesema magazeti miongoni (Tanzania Daima) yanaandika udaku kupotosha ukweli wa mgogoro wa madiwani wa Bukoba kwa lengo la kulinda masirahi ya mtu wala sio wananchi.Muda mfupi uliopita kwenye kikao cha bodi ya barabara.
acha blabla hata Rweikiza hawezi kutamka kwa wapiga kura kuwa emepeleka umeme kwa kuwa aliyeasisi mpango huo wanamjua, labda uko mbali na Bkb, suala la mikopo alilikana zamani muulize baba yak taarifa anazo
Padri wa Parokia ya Kanyigo Medelicus Kyaruzi amewataka waumini wa eneo lake kumsusia Mbunge wao Ansupter Mshama mpaka atakapolipa vitu alivyochukua kwa mkopo kwenye mnada wakati wa harambee ya ujenzi wa kanisa na kutoa ahadi la shilingi milioni mbili tangu mwezi March na kuweka mgomo wa...
Ajabu madiwani waliotimuliwa hawakuitwa.Wanaamini Majibu ya mgogoro huu yapo kwenye vichwa vya Mwenyekiti wa CCM Mkoa Costansia Buhiye, Katibu wake Averin Mushi, Mwenyekiti CCM Manispaa Yusuph Ngaiza (Diwani wa Kata ya Kashai aliyetimuliwa pia) Katibu wake. Janath Kayanda, Balozi Kagasheki na Dk...
kufuatia sakata la kutimuliwa kwa Madiwani nane wa Bukoba Balozi Kagasheki, Meya wa Manispaa ya Bukoba Dk Amani, Mwenyekiti CCM Mkoa wa Kagera na Katibu wake, Mwenyekiti wa CCM Manispaa ya Bukoba na Katibu wake wameitwa Dodoma kuhojiwa.
Nape Nnauye amewaeleza waandishi wa habari mjini hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.