Recent content by kaudagaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Aisee katibu mkuu aliongea mpaka povu linamtoka pale mwembe yanga kuwa jamaa hafai hafai kabisaaa, mwenyekiti akasema angeweza hata kumchoma moto maana hafai kabisa kuishi huyo jamaa..tukamuamini tukawa wafuasi wao..leo mwenyekiti anasimama anasema jamaa anafaa sana maana ana wafuasi wengi mno...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

    mi nafikiri tukiweza kupata clear definition ya earth and heaven itatusaidia kuelewa kwa undani contents zilizomo kwenye hivyo vitu viwili..mwenye clear definition ya dunia na peponi atujuze..based on spiritual and science.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajameni kuhusu mlipuko wa Arusha.

    sawa mkuu nilisikia hilo, sasa asipounda itakuwaje? plan B ni nini?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajameni kuhusu mlipuko wa Arusha.

    fafanua mkuu, kuna uhusiano gani na hilo? au huyu mpya atalishughulikia?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajameni kuhusu mlipuko wa Arusha.

    salaam member wote wa JF, swali ni hili naomba kujua kuhusu lile tukio la mlipuko wa Arusha, liliishaje? maana kuna watu walipoteza maisha. na viongozi wa CDM walisema wana ushahidi wa video unaonyesha wahusika. sasa nashangaa hii ishu kuwa kimya utafikiri hakuna kilichotokea, mimi huwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Kama yasemwayo ni kweli basi mama Zipora nakupa pole..ila nakuomba uongeze mapambano tu huko wizarani usirudishwe nyuma..kwa mwenendo huu sipati picha hii nchi ikichukuliwa na Mzee wa kugawa noti..marafiki zake na wafadhiri watahamia ikulu..mzee wa kyela sijui atamuhamishia wapi!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Aisee hili ni janga la taifa..yameshawahi nikuta hayo..nilikuwa na matatizo ya macho nikashauriwa niende hospitali ya mnazi mmoja. nilifika mpaka pale..nikawakuta waaguzi wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume..yule wa kike akanichukua na kuanza kunipa macho kwa lile tendo la kuziba jicho...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    duuuh balaa...tatizo litapita barabara gani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Picha: PHOTOCOPY MACHINE INAUZWA

    ni pm tuongee
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: PHOTOCOPY MACHINE INAUZWA

    inauzwa 2.2 mil mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha: PHOTOCOPY MACHINE INAUZWA

    inauzwa 2.2milion
  12. K

    JamiiForums Tanzania Picha: PHOTOCOPY MACHINE INAUZWA

    photocopy machine used from uk inauzwa bei nzuri..IR3170Ci
  13. K

    JamiiForums Tanzania Precision Air yatangaza hasara ya Bilioni 30.4 kwa mwaka 2012

    Duuh bongo Daslaam..kila kitu kinawezekana..ndio maana MH. Muhongo anasema uwezo wetu ni kuwekeza kwenye matunda na juisi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Photocopy machine inauzwa

    usiogope hiyo ni ya kuanzia tunaweza kuelewana..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Photocopy machine inauzwa

    Photocopy machine aina ya CANON IR3170Ci, ipo kwenye hali nzuri sana used kutoka UK.. bei inaanzia 3.5m kwa mawasiliano zaidi ni pm
Back
Top Bottom