Walimu tusiwe na hofu Mwenyezi Mungu atatusimamia.Kinachotakiwa ni kujiamini TU na kumwomba Mungu.Wanaofanyisha interview ni watu kama sisi,hivyo tuondoe hofu.
Unapaswa kwanza kujua mhasibu ni nani? Hapo Kuna Diploma ya Accountancy na Degree ya education in Commerce and Accountancy.Husichukulie TU neno Education TU hata Mwalimu naye ni Mhasibu Bro
Habari Wana JamiiForums Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ila kwa Sasa naishi Tunduma.
Natafuta KAZI YOYOTE katika taasisi binafsi mfano shule,kampuni ya mabasi,clearing & forwarding company na hata Usimamizi wa biashara.Elimu yangu ni UHASIBU yaani Nina Bachelor of education in Commerce and...
Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao.
Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu.
Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na Mengine Kidogo.
Ila Walimu wa Masomo ya biashara yaani Book Keeping na Commerce wametengwa kabisa...
Hapo sasa ndo tunapokosea,zamani walikuwa wanatoa post moja kwa moja, kwa sasa kila field ya serikali walimu wapo wanajitolea mfano kwenye majeshi wapo na hata Halmashauri nyingi walimu wapo wanakusanya mapato na kupewa posho tu kuendeshea maisha yao; je walimu hawa hawatapata ajira?
Ushauri wangu kwako Rais wangu Dkt. Mwinyi.
1. Kupitia kampuni zote za tour operator na mikataba ya wafanyakazi wa ndani Bara na Visiwani.
2. Kulipwa fidia kwa wafanyakazi waliotimuliwa kazi bila utaratibu wa kisheria wkt wakiwa ndani ya mikataba.
3. Kutokupewa vibali kwa wafanyakazi wageni...
Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwako kwa ufanyaji kazi wako uliotukuka.
Jafo naomba upatapo ujumbe huu ufanyie kazi; sio nakulazimisha mzee wangu hapana ni sehemu ya uzalendo wa vijana wako waliokuwa chini ya Halmashauri mbali mbali.
Waziri, vijana wengi wameajiriwa ndani ya Halmashauri...
Hivi sheria inatuongoza vipi katika upande Wa likizo bila malipo. kwani kampuni za tours pamoja na mahoteli upande Wa Zanzibar utoa likizo bila malipo kwa miezi 2 kwa kisingizio cha Corona.
Wafanyakazi wengi hawafahamu sheria je inaelekeza nini kuhusu likizo bila malipo na serikali inaweza...
kwa wale waliokosa mkopo kwa maneno haya ya kibaguzi yaliyotolewa na Bodi ya mikopo...COMPLETED F6 / DIPLOMA MORE THAN 3 YEARS AGO...maswali kwa Bodi kama ifuatavyo:-
(1) kwa nini hamkuweka kwenye vigezo na masharti kwa wanafunzi hawa kabla hawajaomba mkopo?
(2) je pesa zao sh 30000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.