Recent content by katyanyi

  1. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenye account ya bolt

    Kwa sasa bolt wamefanya maboresho itamsumbu sana maana Kila baada ya muda inataka upige selfie ya mwenye account ndo ioparate...
  2. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Msumari wa mwisho wa Simba ni Mechi ya Azam

    Sio tu na kmc ilitakiwa tu baada ya mechi ya namungo na Simba alitakiwa acheze na Azam ...ikapelekwa tarehe 1 , baba yenu mlezi wa tff akaona aibu IPO pale pale akairusha Tena Hadi tarehe 13 janwary
  3. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala hili la mfanyakazi TRC anatafuta umaarufu

    Mbona kibatala ni maarufu kitambo tu ...level aliyopo kibatala sio ya kutafuta umaarufu kwa njia hiyo unayoifkiria wewe.
  4. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi kuwaka moto

    Bila kusahau HOME BASE ... Ni bora sana mkuu
  5. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshikilia Abdul Nondo kwa siku 13, DCI, IGP na AG waburutwa Kortini

    BAKWATA ipi mkuu ....?
  6. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Ukiona hivyo ujue kuna nafasi za uteuzi zinatafutwa ....
  7. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Hili li-MUSIBA badala ya kukomaa AKILI linakomaa sura tu.[emoji16]
  8. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Ni kweli , alitakiwa aulizwe FBI ni nini kwa wale ambao ndo kwanza wamesikia kwa Mara ya kwanza,..inahusika na nini , kwa nini anaihusisha. Hawa waandishi wetu wanatakiwa wakomae KIAKILI sio wakomae sura tu.
  9. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Huyu musiba toka nianze kumsikia huwa najiuliza ,...kote huko alikowahi kuajiliwa alifanyiwa usaili kweli !!!!. Nasikia anakampuni yake ,kwa akili hizi sijui wafanyakazi wake watakuwa kwenye khali gani...
  10. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Una maanisha walikutana CHUPA na KIZIBO ?....
  11. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nawasiliana na wapinzani wenzangu tuungane...

    Absolutely .[emoji122]
  12. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Unamaanisha siasa za lusinde na msukuma .... ?
  13. katyanyi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wametanda ofisi za CHADEMA kanda ya Pwani wanarusha mabomu

    Kwa uelewa wangu sioni kama breaking news inahitaji takwimu , maana swala la takwimu linahitaji muda .
Back
Top Bottom