Recent content by Katufu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    hii ni bei gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mie nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

    Yaani inaonekana wanaume wengi humu mna matatizo kwani shida iko wapi si urafiki tu
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    You can't be serious really!! You must be kidding
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaridhia mbunge mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu(CCM) kuapishwa. Maombi ya Lissu kupinga mambo kadhaa kutolewa uamuzi Sept 9

    naomba kuuliza hivi mahakama haiwezi kutengua ubunge wa mbunge feki Mtaturu kwani shida iko wapi sasa ni suala la muda tu?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    cutelove, Hongera dada Cutelove, kwa kumkomesha huyo mvulana kama alitaka wa faster si angeenda Kimboka, na corner bar. Yaani umeonesha msimamo ambao mwanamke anayejitambua anapaswa kuwa nao. Hongera sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera azungumzia uraia wake

    Hapana Erick ana miaka 39 na sio 30 mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera azungumzia uraia wake

    sio kweli kijijini kwetu (ni Karagwe) majina hayo yapo tu tena kwa watu waliozaliwa Tanzania na wana koo pana sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtangazaji wa DW, Mohammed Dahman afariki dunia

    nadhanai dw walikuwepo kadhaa wenye majina ya Mohamed mfano: Mohammed Ahmed, Mohammed Abdulrahman, Mohammed Khelef na huyu Mohammed Dahman mie nawakumbuka hao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera azungumzia uraia wake

    Acha uongo wewe mbona jina la baba yake ni Nolasco John Kabendera! Duh watanzania kwa umbeya hamjambo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    Mmmm haya kazi kwenu vijana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    asante sana manengelo ushauri wako utazingatiwa 100% tu mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    hahahahaaa we Fado unaona eee, nilikwambia mie bado hujakata kiu ya baadhi ya watu hapa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    Kwa kweli huko massagini sijawahi kuingia hata mara mpja ila nitaingia angalau kurefresh maana miili ya utu uzima nayo maumivu kila mahali
Back
Top Bottom