Recent content by Katojo Kajelengese

  1. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Hizi Ndege zimechangia shilingi ngapi katika Economy/Uchumi wa Tanzania na imetumia sh ngapi kwa manunuzi na uendeshaji wake? Tuendelee kulishana upepo hapa ila muda utakuja kujieleza kwa vitendo na maneno nyakati zikiwadia. Uchumi ni sayansi ya kusomea miaka 3 - 5 kuhusu Taxation,Allocations...
  2. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu: Nyongeza ya mshahara Mei mosi

    Huyu naye anatafuta kick ya Uteuzi au ameeleza Ukweli? Naona PhD yake ndio ilimpeleka Togo lome kwa sababu Mshahara wa Tz ulikuwa mzuri kuliko wa huko Togo, akaamua kuiacha kazi nzuri yenye maslahi maengi Tz akaaenda kujitolea huko aliko. Sisi wakazi wa Togo tuna akili nyingi sana kuliko...
  3. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu: Nyongeza ya mshahara Mei mosi

    PhD zingine zina kwashikor au Stunted na wasting ndani ya siku 1000 za utotoni. Ukizingatia alizaliwa huko milimani,naogopa kama alipata lishe bore
  4. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu: Nyongeza ya mshahara Mei mosi

    Huyu naye anatafuta kick ya Uteuzi au ameeleza Ukweli? Naona PhD yake ndio ilimpeleka Togo lome kwa sababu Mshahara wa Tz ulikuwa mzuri kuliko wa huko Togo, akaamua kuiacha kazi nzuri yenye maslahi maengi Tz akaaenda kujitolea huko aliko. Sisi wakazi wa Togo tuna akili nyingi sana kuliko...
  5. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa malaika yuaja kufungia mitandao ili tusiweze kuchangamsha bongo zetu

    Mashujaa wote hupigana mchana kwenye mwamgaza na hutangazwa kuwa heros baaada ya kushinda vita; Mitume wote walifanya kazi zao mchana na walikamatwa mchana bali Waoga na wenye hatia hupenda giza na hutenda gizani ili wasifiwe mchana, hao ni kama mawakala wa lucifer shetani ambaye ni muuaji...
  6. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

    Kamati ya PAC na LAAC bado hazijaanza kujadili hoja au taarifa ya CAG, hivi Waziri/Serikali walikuwa wanamjibu nani?CAG,BUNGE au Wananchi ? na Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria ya Ukaguzi au sheria ya kubalance habari mtaani? Kuna maajabu lakini sio haya, ina maana Malaika Mkuu hajui kuwa...
  7. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Huyo anafanya siasa tu, wampelekee CAG hayo majibu, akiyakubali sawa, akiyakataa warudie. Ila pia CAG kwenye kiapo chake alisema kuwa....HATATOA SIRI ATAKAZOZIJUA wakati anatekeleza kazi zake. Wakaguzi wana SIRI nyingi sana, tuwape heshima zao
  8. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

    Amani kwenu nyote Yesu Kristo alipofufuka kwa wavu mara baada ya kulala Karubini kwa siku 2, alifufuka siku ya 3 na neno lake la kwanza wa binadamu wenye hofu na mashaka ni Amani iwe kwenu...Peace on Earth. Aliwatakia amani mitume wake kwa sababu walikuwa wanatafutwa na utawala wa Rumi kama...
  9. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro: Serikali ya Magufuli inajitahidi kulifanya Bunge liwe ‘idara’ yake ili Serikali isihojiwe kabisa

    Huyu Julius naye sijui alisoma wapi sheria ya Jumuiya ya Madola.. Commonwealth na Common Law/Precedent/Case laws/ Je tangu Tanganyika 1961 kuna MP wa kuteuliwa na rais amewahi kuwa NAIBU SPOKES zaidi na huyu Naibu Mwanasheria wetu wakati wa Uchafusi 2015? kama hakuna, angalia haya basi...
  10. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Majaji 10, Naibu DPP, Naibu DAG, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake

    Nmapongeza Mhe Rais wetu sis wanyonge ambaye anafanya kila namna Nchi yetu kufikia uchumi wa Viwanda Tunaomba na tungependa kujua CV za hao walioteuliwa kushika Ofisi takatifu za Mahakama Kuu ya Tanzania maana katika kazi ya kutoa HAKI, cha muhimu ni UADILIFU na UAMINIFU hadi kufa. Kama kuna...
  11. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kwa ripoti ya CAG Serikali imepata hati chafu

    Kama Bunge litakosa kuwa na wivu na mamlaka na kazi zake za KUPITISHA BAJETI YA SERIKALI kwa mujibu wa Katiba ya JMT ibara ya 103, au kuishauri na kusimamia serikali, halina haja kabisa ya kuendelea kuwepo. Kama matumizi ya billion 5 za kujenga UKUTU Meroreni hazikuwepo kwenye bajeti, Kama...
  12. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

    Kuzaa ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ukiona mwanaume ambaye hazai kabisa, ujue Mungu ambaye anajua kila kitu kwa miaka hata 100 ijayo, ameipusha Dunia na aina ya mbegu hatarishi huku kama za akina Hitler,Mussolini au Sadam. Yesu Kristo alitaka kuawawa na Mfalme Herode lakini kwa kuwa...
  13. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Kuna uwezekano labda hawa jamaa tukifanikiwa kuwafunga tukapata bonus ya viwanda kutokea kwa Communist au kwa malaika mkuu. Ni maendeleo makubwa sana kwa karne hii ya 21 kuwa na nia au mawazo ya kutaka watu wote wawe na fikra sawa zinazofanana na bila kutofautiana. Hii ndio inaitwa Maendeleo ya...
  14. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

    Baba Yetu uliye mbinguni,ufalme wako uje,utakalolifanyike huku Duniani kama huko mbinguni,Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamahe waliotukosea, utupatie riziki yetu,usitutie majaribuni bali utuepushe na yule mwovu shetani, Umkumbuke na Tumbili Kafullila,Machali,Patrobas,Mwigamba,J...
  15. Katojo Kajelengese

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Paschal Mayala aka Njaa k Nakupongeza kwa jinsi unavyojitahidi kusambaza hiyo habari mbaya ili iweze kutufikia sisi ambao tunatumia miwani ya mbao kuona matendo mema ya Mkuu wetu. Angalia hata sasa magazeti yameandika kwamba kuna mwili wa mfanyabiashara umeookotwa wakati tulishaambiwa na Waziri...
Back
Top Bottom