Recent content by Katinda jr

  1. K

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: MEI 2017 natabiri RAIS hatahudhuria hata mkimualika

    Kwanza hata huyo Mtumishi wa uma atakayehudhuria nahisi naye utakuwa fala kama huyo fala mwingine.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Mhh ukisikia wehu na uchizi ndo huu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkuu wa wilaya ya Chemba anusurika kula kichapo

    Huyo alipaswa atoke na manundu kabisa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tuanze kutabiri "visingizio" vya kushindwa kwa sera ya viwanda ifikapo 2020

    Watasema lowasa na mtandao wake wametuhujumu katika ujenzi wa viwanda ila tupeni muda.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Suala ni kujibu maswali kwa ufasaha bila kujali umesimama au umekaa hata kama umelala ila ukiweza kujibu maswali na kujenga hoja kwa ufasaha ni bora zaidi kuliko kusimama Massa mawili huku ukiongea pumba.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

    Du hilo kweli lilikuwa dongo kwa mtukufu rahisi wetu aka Mr perfect rahisi bora kuwahi kutokea duniani, rahisi anayejua kila kitu, mtakatifu wa watakitifu aketie dar ES salaam badala ya dom licha ya kwamba alisema atakuwa wa kwanza kuhamia Dom mheshimiwa sana bwana daktari juma ponds Mali.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa 10 wa Tanzania wenye uwezo wa kutoa hotuba za kusisimua

    11.Livingstone lusinde 12. Godluck mlinga. Teh teh.......
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Kwani zilizotumika kwenye huo mchakato wa kukimbiza mwenge mbona hakuona umuhimu wa kuzibana au zenyewe ilikuwa haki kutumika? Mi naona kufuta hao watendaji kutokuhudhuria bado hajafanya kitu chakufanya afute mbio za mwenge kabisa kwani sionagi maana yake zaidi ni mazingaombwe.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu asema anaenda Rwanda kusaka sokwe

    Sokwe ni bora kwake kuliko wananchi jimboni kwake ila wakulaumiwa ni hao wapiga kura wake hawajielewi toka 2000 hadi halafu bila maendeleo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Mwanafunzi, Watanzania acheni unafiki

    Mimi nilinusurika kichapo nikiwa na wiki tatu toka niajiriwe 2013 toka siku hiyo sikuwahi gusa mwanafunzi kwa tatizo LA nidhamu mpaka mwaka Jana mwishoni nilipoamua kuachana na ualimu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maafa Kagera: Ugali wa sumu waua mama na watoto wanne

    Dah aisee inahuzunisha sana kwa kweli ila Mungu awapumzishe kwa amani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Hayo wanyonge wenyewe ni kama wanasingiziwa tu mbona maisha yako yanazidi kuwa magumu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki kwa mustakabali wa Elimu yetu

    Naunga mkono asilimia mia hoja ya walimu nyie fundisheni tu suala LA nidhamu waachieni wazazi na kina ndarichako.
Back
Top Bottom