UTABIRI: MEI 2017 natabiri RAIS hatahudhuria hata mkimualika

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,431
7,948
ni utabiri tu ila na pia kwa hali ilivyo! mwenyenchi hatakuja MEI MOSI hata mkimwalika!.

alishasema lakin kuwa kapunguza 2% na mshahara mpya msubiri hali ikiwa poa!
hvo hawez kuja tena kwa kuwa nyie mkialikaga RAIS hamna kikubwa cha kumwambia zaid ya kusubir aseme atawapandishia mishahara!

mngekuwa mnaweka na maonyesho hata ya kazi mlizofanya mwaka mzma ingekuwa inaleta hamasa! hamjiongezi
 
yanini kumkbusha? Jecha aandaliwe kuyafuta ya Bara, maana atapigwa tatu bila 2020. Alielala usimuamushe, sema UKAWA NAO HAWANA AJENDA YA MAANA, UPENYO WAMEPEWA, GOALKEEPER HAYUMO GOLINI, WASHINDWE WAO TU.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Natabiri atakuja ila mjiandae maana siku hiyo mtashiba bila kula yeye hajaribiwi kila mahali hewa ananyosha kwanza nchi
 
mngekuwa mnaweka na maonyesho hata ya kazi mlizofanya mwaka mzma ingekuwa inaleta hamasa! hamjiongezi
Unataka kusema nchi hii aneyefanya kazi ni Rais pekeyake, maana unasema mpaka waweke maonyesho ya kazi wanazofanya kwamba Rais hajui au hawafahamu hao wanaojenga nchi usiku na mchana?
 
Watumishi wenye thamani kwake yeye ni Majeshi tu. Hao wengine hawana umuhimu wowote. Watumishi kama walimu, wauguzi, madaktari na hata maafisa watendaji wa kata na vijiji wana umuhimu gani wakati hawabebi silaha?
nafikir hii mada iishie hapa.Watumishi wamaana kwa hyu bwana mkubwa ni Askari,full stop!!!
 
Back
Top Bottom