Possibility ya kukuletea magonjwa ni kubwa, maana kama hajari afya yake hapo uko motoni.
Ukweli unauma lakini ni bora usemwe, ni bora kumuepuka kumbuka akikuletea shida au ugonjwa ni hasara yako na ndugu zako.
Wapo wanao sema, usifuatilie ukae tu duh! Yaani akuletee magonjwa halafu nini...
Kung'ang'ania ndoa kama mtu hakuelewi ni bora uende utafute maisha yako utakufa kabla ya wakati kwa ujinga wako trust mi huyo sio mana wala baba y'ako
Omba divorce hiyo mahari itagawanjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atusaidie hivi kwa mawazo yako hayo na wewe unaweza simama mbele za watu kushuhudia kwamba Mungu amenitendea jambo la ajabu kwa kuniwezesha kupata ajira.
Kweli siku ya mwisho ni kilio na kusaga meno badala usimame imara katika maombi Mungu afungue njia za kupata kipato unawaza mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.