Recent content by Kathrada

  1. Kathrada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

    Aseee we jamaa hapa umeongea, maandishi haya yotee yawekwe wino wa dhahabu kwa vizazi vijavyoo Uasherati ni gharama sana mamaee dooh
  2. Kathrada

    JamiiForums Tanzania CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

    Unaposema wana riba nzuri ni kiasi gan hiko cha riba!?$
  3. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Ushoga duniani

    Msiba wa shoga hauna MATANGA
  4. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Unasema ushoga ni wa kuzaliwa, yan unazaliwa hvo. Lakn hakuna sababu zozote za kibailojia ukizoweka, zaiidi umetoa sacial causes. Tunaomba tafiti za kisayansi na sababu za kibaiolojia zinasabbisha ninyi kua mashoga. Pili, unasema tuombe Mungu tu lkn hakuna uhakika km wanetu hawatakua mashoga...
  5. Kathrada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

    Ku a shida 02 hapo; Mosi, kwa maelezo yako inaonekana unamzuia jamaa kumuona mwanae. Kosa kubwa sana unafanya. Na najua kwann unafanya hvo, unafanya visasi Kwa kua alikuacha kwa madharau na amekuacha ukiwa na mimba Unakosea. Huna mamlaka hayo ww. Haijalisha amekuumiza kiasi gan Huna mamlaka...
  6. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Ulichokisema na alichokisema ni tofauti Lengo lako nn haswaa!?
  7. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Prostitutes and sex in Medieval England

    Be back
  8. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Picha kutoka jicho la camera ya Mohamed Shebe

    Shukran mkuu
  9. Kathrada

    JamiiForums Tanzania JF Chat: All members chat

    Zingatia mada
  10. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Vehicle GPS trackers

    Mzee kuna taasisi inkopesha magar nao wanaweka GPRS naomba ufafanuz inakuaje Namna gan wanatrak!? Je ni location au mpk wanaona kbsa!?
  11. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

    Kushabikia SIASA maana ake nn ndgu!?
  12. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

    Hawa watu nd kina nan!?
  13. Kathrada

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Magufuli na Lissu kanda ya Kaskazini

    Jifunze kuandika kwanza ww mwanachuo
  14. Kathrada

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Uongo upi alosema LISSU kwa taifa!? Pili nkushaur kijana soma kwanz hist ya taifa lako usikubali kua mtumwa Habari za Karume kulazmishwa Muungano zipo kila sehemu na dunia inajua
Back
Top Bottom