Recent content by kategile

  1. kategile

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

    2day no comnent
  2. kategile

    JamiiForums Tanzania Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

    Gaucho yuko vizuri sana Lakini tunamsahau kaka yao JJ okocha Huyu MTU nihatari sana DUNIA haimzungumzii kwakua tu ametoka bara LA africa Ila miongoni mwa wafalme wampira huyu jamaa anajua
  3. kategile

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani huu ndio mlo wangu wa kila siku!

    Mbona swahiba unakula vizuri hivyo Na parachichi lako saaaafi
  4. kategile

    JamiiForums Tanzania Mpyaa

    EXCLUSIVE LEO USIKU KATIKA MICHEZO NA BURUDANI. Wana- Nkurukumbi Kagera Sugar yawasimamisha Mlinda Mlango Husein Shariff pamoja na Beki wa kati Erick Charles wakiwahusisha na upangaji wa Matokeo kufuatia kipigo cha Mabao 6-2 Kutoka kwa Yanga.
  5. kategile

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC ipo tayari kumpokea Paul Nonga akitaka kurudi

    WAMCHUKUE TU ILANINACHO HISI MAGULI ATAELEKEA UARABUNI
  6. kategile

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC ipo tayari kumpokea Paul Nonga akitaka kurudi

    STRAIKA wa Yanga, Paul Nonga amekuwa akikumbana na ushindani mkubwa ndani ya kikosi hicho kutoka kwa mastraika wa kigeni, Amissi Tambwe na Donald Ngoma lakini uongozi wake wa zamani wa Mwadui FC wamemfungulia milango kama atahitaji kurudi kwao. Yanga ilimsajili Nonga akitokea Mwadui FC kwa...
  7. kategile

    JamiiForums Tanzania Ni ligi ipi inamvuto na ngumu kuliko zote ulaya

    spain germany than EPL ukitaka kulijua hilo angalia team zetu za EPL zinafanya nini kwenye UEFA nimiaka mingapi hazifanyi poa
  8. kategile

    JamiiForums Tanzania Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

    ULILO LIONGEA LINAUKWELI bongo hatuna viongozi wakisport bali tunanatapeli wakisport
  9. kategile

    JamiiForums Tanzania Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

    BILIONEA KUONGOZA KLABU YA LIGI KUU VODACOM Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim...
  10. kategile

    JamiiForums Tanzania Upangaji matokeo Daraja la Kwanza : Maamuzi ni haya

    Timu anayoinoa Kocha Selemani Matola ya Geita Gold Mine imeteremshwa daraja hadi la pili. Geita imepatikana katika hatia ya upangaji matokeo katika mechi yao ya mwisho ya Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya JKT Kanembwa ambayo pia imeteremshwa daraja. Katika mechi hiyo, Geita Gold Mine ilishinda kwa...
  11. kategile

    JamiiForums Tanzania Upangaji matokeo Daraja la Kwanza : Maamuzi ni haya

  12. kategile

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi: TFF imemshinda, ni bora akae pembeni

    Timu anayoinoa Kocha Selemani Matola ya Geita Gold Mine imeteremshwa daraja hadi la pili. Geita imepatikana katika hatia ya upangaji matokeo katika mechi yao ya mwisho ya Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya JKT Kanembwa ambayo pia imeteremshwa daraja. Katika mechi hiyo, Geita Gold Mine ilishinda kwa...
  13. kategile

    JamiiForums Tanzania TFF hili tatizo hamlioni

    HII NDIO BONGO 255
  14. kategile

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka niwe namuingilia kinyume na maumbile yake

    USITHUBUTU MUNGU ANAKUONA
  15. kategile

    JamiiForums Tanzania katika kumbu kumbu za ligi daraja la kwanxa.

    mwadui fc inafundishwa na julio
Back
Top Bottom