Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Dk Sulaiman Al-Fahim

Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao.

Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangezi alisema kuwa waliamua kumuomba Al Fahim kuwa kushika nafasi hiyo kutokana na uzoefu wake katika michezo hasa mpira wa miguu mbali ya kuwa mfanyabiashara bilionea katika nchi za Uarabuni na duniani kwa ujumla.

Kangezi alisema kuwa Al Fahim ni Rais wa kampuni ya Arab Union for Real Estate Development ya Dubai na miaka ya nyuma alikuwa msemaji wa kampuni inayomiliki klabu tajiri duniani, Manchester City, Abu Dhabi United Group (ADUG). ADUG ilinunua Manchester City mwaka Septemba, 2008.

Pia Al Fahim alitaka kununua klabu ya Portsmouth ambayo ilikuwa inashiriki ligi kuu ya Uingereza, lakini mpango huo haukuweza kukamilika.

Kangezi alisema kuwa Al Fahim ataanza kazi rasmi Aprili 16 ambapo atatangaza timu yake ambayo atafanya nayo kazi katika kuibadili klabu hiyo na kuwa klabu bora Tanzania na Bara la Afrika.

Alisema kuwa uwepo wa Al Fahim kuitaifanya timu hiyo kuwa na uongozi bora wenye kujua uendeshaji wa kisasa katika masuala ya mpira kwa kuzingatia uzoefu wa mfanya biashara huyo mzoefu katika soka na michezo mengine.

“Haikuwa kazi rahisi Al Fahim kukubali kuingia kwenye uongozi wa klabu yetu, ila tunashukuru kwani alituelewa baada ya kukutana naye alipokuja hapa nchini kwa shughuli zake, “ alisema Kangezi.

Alisema kuwa lengo lake ni kuona African Lyon inakuwa klabu ya mfano sit u kwa Tanzania, hata kwa nchi za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Kangezi alisema kuwa mipango yao ya awali ni kuhimarisha timu ya kwanza ili iweze kufanya vyema katika mashindano ya ligi kuu na pia kuanzisha msingi mzuri wa timu za watoto.

“Dk Sulaiman ni Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kampuni ya Al Fahim Group na vile vile alikuwa mkurugenzi wa kituo cha Royal Football Fund (RFF) mbali ya kuwa mchezaji wa mchezo wa chesi, ameahidi kusaidia wachezaji chipukizi ili kuwawezesha kushiriki katika mpira wa kulipwa, tunaamini titafika, ” alisema.
 
wajenge uwanja na hostel za wachezaji kwanza huo ndo ushindani tunaoutaka,soka kila MTU anacheza.
 
Aangalie pesa zake zisiwe zikawa zinakuja kutafunwa na wajanja janja hapa mjini

kitu pekee ambacho Mtanzania ni cha kumwamini ni ngozi yake tu nyeusi lakini zingine zote sio za kuamini watu wanafoji hadi majina

vyeti vya bandia chezea wa tz wewe
 
Safi sana, aweke pesa kama Bakhressa ili kuleta changamoto kwenye soka letu. Wanasema mpira pesa. Ila maendeleo huja na machungu yake, wale wachezaji waliotoa jasho na damu kuipandisha timu daraja hawatakula matunda yake maana wengi hawatakuwa na nafasi tena.
Ni sawa ndugu kila hatua ina kiwango chake hao waliopandisha sidhani kama wote wana fit kwa hatua hii sio jambo geni.
 
Namkumbuka yule jamaa aliyetoka marekani sijui ndo Alex Kajumulo na ile Kajumulo World Soccer sijui atarudi tena..!?
 
BILIONEA KUONGOZA KLABU YA LIGI KUU VODACOM

Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangezi ni kuwa waliamua kumuomba Al Fahim kushika nafasi hiyo kutokana na uzoefu wake katika michezo hasa mpira wa miguu mbali ya kuwa mfanyabiashara bilionea katika nchi za Uarabuni na duniani kwa ujumla.

Kangezi alisema kuwa Al Fahim ni Rais wa kampuni ya Arab Union for Real Estate Development ya Dubai na miaka ya nyuma alikuwa msemaji wa kampuni inayomiliki klabu tajiri duniani, Manchester City, Abu Dhabi United Group (ADUG). ADUG iliinunua Manchester City Septemba, 2008.

Pia, lakini mpango huo haukuweza kukamilika.

Aidha, Kangezi alisema kuwa Al Fahim Al Fahim, ambaye alitaka kununua klabu ya Portsmouth ambayo ilikuwa inashiriki ligi kuu ya Uingereza, ataanza kazi rasmi Aprili 16 ambapo atatangaza timu yake ambayo atafanya nayo kazi katika kuibadili klabu hiyo na kuwa klabu bora Tanzania na bara la Afrika.
 
...aisee hongereni African Lyon,hope ushindani utazidi kuongezeka kwenye ligi yetu,Simba,Yanga,Azam,then uongeze na wabishi wa siku zote Mtibwa,weka Prisons,hop itakua poa sana.
Angalizo:TFF mpange ratiba zenu zieleweke,kuanzia msimu ujao,suala la baadhi ya timu kuwa na viporo hadi vitatu,kisa zinacheza mechi za kimataifa lisiwepo.Hebu ifanyeni ligi iwe na mvuto,ubabaishaji uishe,watu wafurahie mpira.
 
Hahaha. Sulaiman Al fahim ni tapeli wa kimataifa na alishaumbuliwa na magazeti mbalimbali wakati ule alipojifanya kutaka kununua portsmouth na man City. Na hata Doctorate yake ni feki kama ya mwenyekiti wa makampuni ya nanihii. Kazi yake ni kuchukua miradi na kwenda kukopea kwingine. Kwanza alijifanya anataka kununua man city kumbe alikuwa dalali wa matajiri wa Abu dhabi. Baadae akatumia umaarufu feki kujifanya anataka kununua portsmouth, hakulipa cash, bali alitaka kwenda kukopa ndipo amalizie, benki zikamnyima mkopo na matokeo yake akashindwa hata kulipa mishahara ikabidi aiteme! Hawa african Lyon wakae chonjo huyu ni jack pemba wa kiarabu!

"Mr. Fahim has made it clear that he prefers the honorific Dr. — or Doc, to his friends — in deference to the Ph.D. in real estate investment he says he received from the Kogod School of Business at American University in Washington.
Records at American University show that Mr. Fahim was awarded an M.B.A., but there is no record of him receiving a doctorate there — the university does not even offer an advanced degree in real estate."

source: http://www.nytimes.com/2009/06/09/business/global/09property.html?_r=0

Mbongo ni mbongo tu hata aje nani soka letu ni lile lile. Any way kila la heri kwa African Lion
 
Hahaha. Sulaiman Al fahim ni tapeli wa kimataifa na alishaumbuliwa na magazeti mbalimbali wakati ule alipojifanya kutaka kununua portsmouth na man City. Na hata Doctorate yake ni feki kama ya mwenyekiti wa makampuni ya nanihii. Kazi yake ni kuchukua miradi na kwenda kukopea kwingine. Kwanza alijifanya anataka kununua man city kumbe alikuwa dalali wa matajiri wa Abu dhabi. Baadae akatumia umaarufu feki kujifanya anataka kununua portsmouth, hakulipa cash, bali alitaka kwenda

kukopa ndipo amalizie, benki zikamnyima mkopo na matokeo yake akashindwa hata kulipa mishahara ikabidi aiteme! Hawa african Lyon wakae chonjo huyu ni jack pemba wa kiarabu!

"Mr. Fahim has made it clear that he prefers the honorific Dr. — or Doc, to his friends — in deference to the Ph.D. in real estate investment he says he received from the Kogod School of Business at American University in Washington.
Records at American University show that Mr. Fahim was awarded an M.B.A., but there is no record of him receiving a doctorate there — the university does not even offer an advanced degree in real estate."

source: http://www.nytimes.com/2009/06/09/business/global/09property.html?_r=0

Hii ndio JF niliyoifahamu kabla mpaka nikavutiwa kujiunga, ni fact and envidence, uko deep sana mkuu, hata mimi ni muhanga wa hawa wapigaji wa Abu dhabi kuna tapeli mwingine anaitwa Ally Pasha alitutapeli pesa zetu vijana wa Kitanzania kama ile style aliyotaka kuwapiga Le Mutuz vijana wa JF wakati akiwa Marekani.

Ni mimi ndio niliowagutusha mawakala wake hapa Tanzania baada ya kupata taarifa zake Interpol nikawaambia wazi kwamba mnajiingiza kwenye matatizo makubwa Ally Pasha hata huko Uingereza anakojifanya ndio anaishi anatafutwa atiwe pingu.
Kama uko interested mgoogle huyo jambazi na kikampuni chake cha Al Najat, utanielewa vizuri.
 
timu ya madalali ile

Kuwa mpole
Naanza kuelewa maana hata huyo mmiliki sijui ni mkongo sijui Mrundi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa watu. Kuna kitu tusichokijuwa African Lyon wala si bure, na hiyo picha ya huyo mwarabu na self yake kwenye private hiyo picha inaongea mengi.

Matajili hawanaga muda wa self, hizo ni pozi za wapigaji ili ujuwe Private Jet ni yake, tajili huwa haitaji justification, Sheikh Masour hata akipiga picha ya passport size mziki wake mpaka wazungu wanaujuwa.
 
Back
Top Bottom