Recent content by katch

  1. K

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Ingawa baadhi ya watu wanahoji kuwepo kwa muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar juu ya moja ya pande hizo kunufaika zaidi kuliko nyingine lakini ukweli utabaki pale pale kuwa muungano ni muhimu! itakuwa ni jambo la ajabu wakati wenzetu wanafanya jitihada za kuungana sisi tunataka kujimega.
  2. K

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Nakubaliana na hoja yako kuwa mtindo wa kila kitu kukimbilia kwa Kikwete siyo mzuri na hauna maana yoyote ila nilichogundua ni kwamba wananchi wengi wamekosa imani na viongozi wao ndiyo maana hali hiyo inajotokeza. Hebu angalia baadhi ya viongozi hawafanyi kazi ipasavyo mpaka wasikie Kikwete...
  3. K

    East African Federation (EAF) public Views

    Shirikisho halina tatizo kwa watanzania ila linahitaji maandalizi siyo kufanya haraka kwa mfano inaeleweka vyema kuwa watanzania tuko nyuma katika lugha ya kiingereza ukilinganisha na nchi kama Kenya na Uganda hivyo ushindani wetu katika kazi unaweza kuwa mdogo. Aidha kuhusu nchi za Rwanda na...
Back
Top Bottom