Recent content by katawa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

    Yesu kasaidia vipi kumaliza umaskini na uvunjaji wa haki za binadamu barani Afrika?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

    nao wanaandika yao,kulala jalalani,kuokota makopo nk
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

    Hakuna kuandikiwa maisha,unapozaliwa unapewa karatsi jeupe tupu likiwa halina maandishi,maandishi unayaweka wewe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wafuatao, ndio watu pekee wanaoijua kesho yao!

    Hivi ni kweli kuwa kuna gari la bilioni 20.Niambieni ni aina gani ya gari na linatengenezwa nchi gani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina akijibu maswali magumu ana kwa ana na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu

    Kuna mgombea uraisi hapo ama wanagombea urahisi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    Tafadhali sana tumia Mungu acha kabisa kutumia mungu
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza ratiba ya vyama 14 kuchukua fomu za urais

    Hii barua imeandikwa na mtu wa tume? Yaani anaandika saa tisa jioni?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Kosa ni lako la kuvua chupi kabla ya kuolewa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Hatamfanya lolote,kuna talaka mezani,imeisha hiyo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    mke anapewa 30k kila siku,huyu laki 3 kwa mwezi sio mbaya
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mudavadi: Rais Ruto kama Chairman wa EAC anazungumza na Rais Samia kufuatia Serikali ya JMT kuzuia Wafanyakazi wa Vibarua kutoka Kenya!

    Hakuna nchi hapa duniani ambayo imeendelea bila kuweka sheria za kibaguzi
Back
Top Bottom