Recent content by katapilla

  1. K

    Wabunge wajirudi: Wadai Lowassa hakuchukua hata senti ya Richmond!

    kumbe ni hammy d mtoa ujinga huu
  2. K

    Wenje: Nitafanya kampeni za kufa na kupona BVR zikiingia Mwanza

    naona mood imegoo down uliposikia jamaa anabaki nyamagana kweli wewe kilaza eti ajenge kanisa yeye amekuwa gwajima
  3. K

    Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

    acheni ukawa wafanye kazi sio kuleta majungu tu.
  4. K

    Azam TV badilikeni mlete Mapinduzi kwenye habari

    nilitaka kununua kingamuz cha azam kumbe majanga hivyo vipi na continental naomben maoni yenu wadau
  5. K

    Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    zimwi la muungano bado linawatesa CCM mtabanwa mpaka muuongee ukweli lisu unafikili niwa kuchezea hapo bado jusa toka zanzibar naye huyu alipa wabana eti wakaja na hoja kuwa hana mtoto ccm bwana utafikili lidudu limoja linaitwa Eliza boni
  6. K

    Mbunge CHADEMA Akodisha Chopa kwa CCM Kufanyia Mikutano - Huu Sio Usaliti?

    HAMY D kesho useme kuwa LIPUMBA AJITOA UKAWA SABABU YA UKABILA WA CDM HII ITAUZA SANA NA HATA PALE LUMUMBA HABARI YAKO ITAPEWA KIPAUMBELE KWENYE GAZETI LA MKAKATI NA UHURU NA UTAPIGA PESA NDEFU RAFIKI ILA UNIKUMBUKE MAKE WEWE HUNAGA SHUKRANI LILE DILI LILOPITA ULIPGA PEKEYAKO WAKATI WAZO ALITOA...
  7. K

    Vigogo CCM wamgeuzia kibao Kinana, wadai akashindwa kutoa maamuzi magumu

    Ccm hawana ubavu wa kumvua gamba mr.president lowasa na ninahamu ashinde ili nione wakina makonda na nape watakimbilia wapi
  8. K

    Vijiji ilivyoshinda CHADEMA W.Rugwe BVR zote zagoma

    ccm oyeeeeeeeee akachukuwa kaweka waaa
  9. K

    Gari la Leonce Marto (Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa) lachomwa moto

    hata wafanyeje ccm hawapiti huko iringa
  10. K

    Tatizo la pesa kwa Wanafunzi wa elimu ya juu

    wanaogapa mtaenda kumchangia lowasa mwenye pesa zake wakati nyie mnalalamika hamjapata mkipewa tu mnaenda kujipendekeza kwa lowasa kwa vipesa vyenu vya bagia hivyo
  11. K

    CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    prof j ni form six acha kutudanganya
  12. K

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    ukweli ni kwamba mm ni mkrito tena mkatoliki ss ni wanafiki ndio maana tunabaka mpaka watoto
Back
Top Bottom