Myahudi wa Musoma
New Member
- Apr 23, 2015
- 2
- 0
Hivi ni kweli hii ni serikali ya wachovu??, imefika wakati nauona kabisa kitu ambacho mh.Lissu alichokuwa akikisema bungeni kiko sawa, mpaka leo ni wiki ya 11 yaani ilitakiwa wiki 8 wanafunzi wa vyuo vikuu hawapapewa pesa ya kujikimu.
Hivi inamaana sisi watoto wa wakulima tunaishi vipi???, serikali ebu angalieni hili swala maana huu mwaka ni mwaka ambao mtataka support ya hao vijana wanaolia njaa kila wakati huku masikio yenu mkiwa mmeziba. Coup is a replacement of ballot box.