Habari wadau,
Naomba kujua ufaulu wa o level mwaka jana ulikuwaje. Shule za serikali zili perform vipi, pia naomba list ya shule 100 bora Tanzania nzima.
Tafadhali naomba kujua kama ili niuze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani nilazima niwe mwanachama wa chama cha ushirika au naweza peleka ghalani pasina kupitia chama cha ushirika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.