Msaada: Naombeni list ya shule 100 bora ufaulu O Level

Msaada: Naombeni list ya shule 100 bora ufaulu O Level

katakunsina

Member
Joined
Jun 6, 2020
Posts
12
Reaction score
6
Habari wadau,

Naomba kujua ufaulu wa o level mwaka jana ulikuwaje. Shule za serikali zili perform vipi, pia naomba list ya shule 100 bora Tanzania nzima.
 
Dah ila umeamua kututesa sasa si ungeingia mtandaoni ukaziomba.

Mbona Watu mnapenda kutesana hivyo?
 
Eheee😳😳! Mia zote hzo nenda google mkuu acha kutesa watu
 
Back
Top Bottom