Recent content by katabu

  1. katabu

    Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

    Kitu Sasa kitu cha ncha Kali cha Mzee wa hapa kazi tu kishamwangukia!
  2. katabu

    Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

    Sasa kapigwa chini!! Mbona Mungu amejibu mapema sana hivi!!
  3. katabu

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Hizi chuki wajameni!! Zitatufikisha pabaya!! Binafsi siipendi ccm, ila kwa kifo siwezi kuponda kwa lolote. Kwanza siwezi kumchukia mtu kwa sababu ya chama chake zaidi, nitamhurumia!!!
  4. katabu

    Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

    Waache wavuruganeee, waache wavuruganeee!! Yamethibitisha machooo
  5. katabu

    Taaluma yako

    Hakuna mkuu!! Nilikuwa nawaza tu! ! Hasa yule mother mtafiti aliyetumbuliwa!!!
  6. katabu

    Taaluma yako

    Utakuwa unaota kama unasubiri kutambuliwa na kuheshimiwa (kwa mawazo unayotoa au mchango wako) kwa kuzingatia proffessional yako hasa ukiwa mtumishi wa umma!!!!! Sana wewe tetea ugali wako tu kwa kufanya vile watakavyo wenye dhamana na ajira yako. Yaani wafurahishe wakubwa ili watoto wako...
  7. katabu

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Kwani alienda kuokoka au kuombewa? Kunatofauti ya kuombewa na kuokoka!!
  8. katabu

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Kweli ya neno ukiikataa utasafiri sana. Maombezi yanafanyika hapahapa Tz. Kwakuwa dharau ni nyingi inabidi wakauze sura Emmanuel TV
  9. katabu

    Rais Magufuli unamuua mama yangu

    Inawezekana mother mwenyewe ni yule aliyekuwa anavaa dira la njano.
Back
Top Bottom