Recent content by kasymon

  1. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nikifunga ndoa kwa style hii jamii itanielewa kweli?

    Hahaha! Nimecheka sana
  2. kasymon

    JamiiForums Tanzania UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

    Endelea kuamini hivyo
  3. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimficha mke wangu kuhusu mtoto wangu wa kwanza

    Ndoa inayoanza kwa uongo hua haifiki mbali! Hujachelewa sana kurekebisha kosa! Tafuta sababu ya kumficha ili angalau akuelewe kidogo
  4. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

    Mwambie mkeo aongee nae! Ukilificha hilo ipo siku utaangukua mtegoni
  5. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati unanipa penzi ulikuwa umerogwa au?

    Kweli kabisa
  6. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, kama nakosea ruksa kupinga

    Wala hujakosea
  7. kasymon

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa jua, ishara ya mwisho wa dunia

    Sina uhakika Ila no kitu kama hicho.
  8. kasymon

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa jua, ishara ya mwisho wa dunia

    Kupatwa kwa jua kunatokea kila baada ya miaka 15. Na dunia bado ipo
  9. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka nimjengee nyumba ila sina uwezo, nimepanga kujiua kabisa

    Jiue! Mmxiuuuuu
  10. kasymon

    JamiiForums Tanzania Maisha Plus ya Kipanya inavyouanika umbumbumbu wa vijana wa kitanzania

    Tatizo so barabara! Hakuna mkoa wa moshi ndugu
  11. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Mke no wako mtebgeneze utakavyo.. Ukitaka ajipodoe mnunulie hivo vipodozi na mwambie awe anatumia. Ukitaka awe sexy mlipie gym muende wote. Una tamaa ya nje sana! Waulize hao waliooa warembo na wenye mvuto wengine wanatamani wapate make kama wako.
  12. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kufanya mapenzi kwa sababu Moja au nyingine

    Hayo yatakua maamuzi yetu sisi wawili
  13. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kufanya mapenzi kwa sababu Moja au nyingine

    Nani atajua maisha yetu ya ndani?
  14. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kufanya mapenzi kwa sababu Moja au nyingine

    Kwani wao hawafai kuoa? Naamini Hakuna alieumbwa kua peke take.
  15. kasymon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kufanya mapenzi kwa sababu Moja au nyingine

    So salama kuweka namna kwenye social media. Ntampa namba yule ninaeona tutaweza kua pamoja
Back
Top Bottom