Mimi sitaki hata kumsikia kwani nimeishaamua kura yangu kwa lowasa. Huyu mtu muulizeni jimboni kwake amefanya nini? kuna shida kulikoa hata alivyolikuta jimbo. Maji shida, umeme shida, barabara shida na halafu leo hii anajifanya anaijua richmond kuliko kuhangaika kuleta maendeleo. Sisi...
Hta yangekua kutoka CCM F, tutabadilisha tu. Tumechoka kua na viongozi walalamikaji angalau mzee we Monduli anafanya maaamuzi na kuyasimamia. Huyu wako ni migogoro kila anakofanyakazi na vitisho vya kutishia watu kama watoto. Kulalamika kumelala pale. Poleni sana...
Chama chake kiko madarakani mpaka muda huu, anatuambia sisi tufanyeje? Serikali ya kila mtu kulalamika hatuitaki, tumechoka nayo. Wafanye kazi hawawezi mabadiliko hayakwepeki
Ghosryder
Soma nyakati na majira utaona dalili zote za ushindi kwa Lowasa. Angalia vipindi alivyopitia, mabomu yaliyorushwa na nguvu inayotumiwa na CCM. Asingekua Mungu kua na Lowasa asingefika hii leo akiwa hapo halipo.
Tunaimani kua ni mpango wa Mungu kutokea haya yaliyotokea. Angalia...
Ndugu zangu watanzania ni ukweli usiopingika kua tunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo katika nchi yetu. Kwa miaka 54 chini ya utawala wa CCM hakuna cha kujivunia, hali inazidi kua mbaya kila wakati. Elimu yetu iko ICU, vijana tumetupwa na mfumo na uchumi wetu umekua stagnant kwa miaka mingi...
Lowasa kafanya mengi katika kujenga misikiti kuliko waisilamu wengi tu waliopo hapa nchini. Chuki zenu hazina maana wakati huu. Tujenge Tanzania moja. Msiichafue dini yenu kwa kauli za kutisha kama hizi sidhani kama dini yenu inafundisha chuki kiasi hiki.
Mzee kuna vitu unaongea hoja sana kama vison kwa taifa ila unaharibu na ushabiki unaoingiza. Ebu niambie ukweli Magufuli ana vision? Mimi nikimsikiliza lowasa ma Magufuli ninaona ni janga kwa magufuli kuliko lowasa, ni janga kwa CCM kuliko CHADEMA. Maana sioni vision kwa magufuli elimu kua bure...
Mimi mkuu sijajua maana ya janaba ila kwa mambo ya kiimani kuna connection kati ya kulala na mtu na kuwa na mikosi.
Kiimani ni kua mtu unapolala na mwanamke maana yake umekua mwili mmoja, mumeunganika katika ulimwengu wa kiroho. Watu wengi hua hatufualitii chanzo cha mabalaa katika maisha...
Huyu jamaa ni msaliti sana. Anasema anapinga rushwa wakati nyuma ya pazia kapokea rushwa. Nguvu yote ya kuongea imejaa rushwa. Alituaminisha CCM haifai leo hana hata chembe ya aibu anaipigia chapuo CCM. Haya ni yale yale kama chadema walimkataa lowasa hata yeye alikataa CCM. Ukweli uko wazi CCM...
Mbona mumepanic mapema, tar 25 sio mbali na hata dalili ziko wazi. Jiwe lililokataliwa na muashi litakua jiwe kuu la msingi. Kama urais ni barabara basi hamna hata jaha ya kampeni Magufuli kapigiwa kura na barabara. Sisi tunamtaka lowasa. Suala la CCM kumkataa halituhusu, tunamtaka huyohuyo...
Kumbe unalinganisha na Magufuli? Lowasa sio saizi ya Magufuli bana. Sasa angalia vizuri utaona ila usiangalie kwa kupanic ukweli unaonekana wazi. Mimi sio mpambe wa mgombea yoyote but Ukweli ni kua Lowasa yuko vizuri kuliko magufuli. Magufuli anafanya mizaha sana kwenye kampeni zake vitu ambavyo...
Nimefanya jitihada za kutafuta hio video clip na nimeingalia lakini inaonesha umeshindwa kutafsiri ujumbe. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kuwa watu waliandama na kuimba baada ya mkutano kumalizika kitu kilichowalazimu polisi kutumia mabomu kuwatawanya. Watu waliondamana ni watu wa UKAWA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.