Recent content by kasweet

  1. K

    Na Tafuta Nyumba ya kupanga maeneo Makongo ya survey

    Wana JF msaada pls natokea kanda ya ziwa nimekuja Dar kikazi zaidi Natafuta nyumba ya kupanga Maeneo ya Makongo na Survey nitafutrahi sana Budget : Tzs 300,000-400,000 P.M Muonekano: Iwe na gate, Maji na umeme...rahisi kufikika barabarani Vyumba: Master 1,kingine cha kulala,sebure,jiko na...
  2. K

    Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

    Jamani mimi nina Milion Moja ya kuanzia ila kama baada ya Mwezi tena naweza pata 2 milion ninataka kufanya biashara nia ninayo nina mawazo mengi hasa la Tigo pesa na chakula Utata kwenye Tigo pesa and the like ni hiliswala ya hela bandia ninalikabili vipi...naona risk yake ipo juu sana msaada...
  3. K

    Kwa uchangiaji huu wa mada kutoka kwa wadada wa jf nyumba ndogo ni ngumu kuzitokomeza

    Mimi Binafsi yangu sina uhakika kama nyumba ndogo zina weza kusolve swala zima la kukalibisha chakula na kumpelekea maji ....Matatizo mengine yako juu ya uwezo wa mwanamke na wakuyatatua ni mwanaume Hapa naongelea swala la tabia ya mtu binafsi ...km nimtu wakupenda totoz hata umvishe surua na...
  4. K

    Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

    Yaani jabo la kusikitisha ila nimecheka mpaka basi ...watu hawana huruma
  5. K

    Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

    Nataka biashara ya kufanya kwa 1mil to 2mil
  6. K

    Mke wangu hana nidhamu?

    Wanaume wa kibongo bwana hata maji ukalibishwe?? kimekuwa chakula ...Kaoge huko acha uchafu...:lalala:
  7. K

    Ma Lecturer na Prof Wanafaidi Sanaaa! Kila Mwaka Wanalamba Nyapu Mpyaaaaaaaa!!!!! (UKIMWI NI KIFO!)

    Watajeni bana mbona Madonkey tumejua haaaahaaa....hawa hawataacha na wataua wengi....bora mimi nilimaliza na sikufauru kihivyo....nipo na Kazi nzuri nikikutana nao wananisalimia ila pichu yangu hata wafanyeje hehhehhe hawataiona....na wadada niache kujipeleka:mwaaah::becky::becky::becky:
  8. K

    Ma Lecturer na Prof Wanafaidi Sanaaa! Kila Mwaka Wanalamba Nyapu Mpyaaaaaaaa!!!!! (UKIMWI NI KIFO!)

    Watajeni hata kwa kilugha otherwise hawata koma....kwanini wanapenda chili na wanafundisha...
Back
Top Bottom